Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,155
- 441
Jiunge twiga stars, upige zoezi.
thanx 4 adviceIt's very simple. Just don't have one.
thanx i will do thattafuta namna ya kujiweka busy...na jaribu kuintarakt na watu wengi zaidi kuliko mtu mmoja.
me naona ungeomba ushauri wa kuishi na boifrend vizuri!!
Hakuna njia za kukusaidia kuishi peke yako we mdada, hakuna cha kujikeep busy wala nini. Hayo ni masuala ya moyo mamaa na hayatabiriki. Ishi kila siku jinsi inavyokuja na deal with it. Kama suala limefikia hatua ya kujizuia ni kwanini ujizuie? Kuumizwa tu? Kwanini usitafute njia ya kukabiliana na kuumizwa badala ya kutafuta njia za kuminya matakwa ya moyo wako....
Unaumizwa vipi?
mpe yesu maisha yako hutaumizwa tena.
naomba wana jf mnisaidie njia ambazo zitanisaidia niishi peke yangu bila boyfriend coz kila nikiwa kwenye relation naishia kuumizwa.
LUNA mdogo wangu rudisha mawazo yako yawe kwenye hali ya kawaida kabisa halafu uanze upya. Hakuna maisha bila mapenzi hii ndiyo natur yetu. Tafuta mpenzi siyo mshikaji. Mara nyingi matatizo ya wanawake hutokana na nyie wenyewe. Jiangalie udhaifu wako then jirekebishe.Can you tell the fish not to swim? Think about it LUNA!
naomba wana jf mnisaidie njia ambazo zitanisaidia niishi peke yangu bila boyfriend coz kila nikiwa kwenye relation naishia kuumizwa.
Hakuna njia za kukusaidia kuishi peke yako we mdada, hakuna cha kujikeep busy wala nini. Hayo ni masuala ya moyo mamaa na hayatabiriki. Ishi kila siku jinsi inavyokuja na deal with it. Kama suala limefikia hatua ya kujizuia ni kwanini ujizuie? Kuumizwa tu? Kwanini usitafute njia ya kukabiliana na kuumizwa badala ya kutafuta njia za kuminya matakwa ya moyo wako....
sina historia ya mizingaKwa nini usiumizwe wakati kila siku mizinga tu, hapo wanaume lazima wakukumbie tu as wanakuona mchunaji na huna mapenzi
Kuwa mchamungu, kumbuka siku ya kufa na tambua lengo la kuumbwa mwanamme na mwanamke then badala ya kuishi na boyfriend amua kuolewa.
Ziba hiyo kitu na"SUPER GLUE"naomba wana jf mnisaidie njia ambazo zitanisaidia niishi peke yangu bila boyfriend coz kila nikiwa kwenye relation naishia kuumizwa.