Recent content by supercool

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kitaalam: Muembe unadondosha maembe machanga karibu yote

    Assalam alykum. Naomba msaada. Huu muembe wangu unadondosha embe changa karibu ya zote. Nimetumia dawa ya wadudu na ile nyongeza ya vitamin lakini bado. Nifanyeje?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano ya hayati Magufuli, bei za nafaka hazikupanda namna hii. Sasa zimepanda na wananchi wanakula mlo mmoja na nusu

    Miaka mitano ya magufuli watu walikuwa hawana amani kama hivi sasa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wewe ni msomi halafu unavuta sigara, usomi wako una faida gani sasa?

    Uharamu wa sigara umekuja kwenye madhara yake. Kama kitu kina madhara katika afya na unaweza kukiacha maana yake ukikifanya itakuwa ni haramu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ni mkombozi

    Napenda kujua mbuzi kama hawa nitawapata wapi?mi nipo Tanga
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

    Jamani mwenzetu kaomba ushauri sasa mbona hamumpi mnampiga vijembe tu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za uchimbaji visima virefu na vifupi vya maji safi

    Mnachimba mpaka meter ngapi?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Sitawafukuza wabunge wa majimbo, ila wakimsikiliza Maalim Seif nitawaondoa wote

    lipumba hasomeki na uprofesor wake
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    kuna tofauti baina ya speed ya gari na pikipiki,hata gari kubwa na ndogo hivyo gari itafika mwanzo kutokana na rotation ya engine
  9. S

    JamiiForums Tanzania Video : Makonda awaweka ndani Wenyeviti watano

    utawala unatakiwa ufate sheria
  10. S

    JamiiForums Tanzania Magomeni: Basi lingine la UDART lagongwa

    tanzania bado tuna safari ndeeefu ya ustaarabu,labda magufuli atufanyie safari twende Denmak kwa awamu tukajifunze
  11. S

    JamiiForums Tanzania ufadhili na tangazo la shule

    Taasisi ya wanataaluma wa kiislam tawi la tanga TAMPRO inatoa ufadhili katika shule yake ya wasichana PONGWE ISLAMIC GIRLS iliyopo tanga kwa watakao faulu mtihani wa usaili kwa kiwango cha A .kwa usaili na maelezo wasiliana na 0712048197,pia kwa wanaopenda kujiunga na shule hiyo kwa hali ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Dunia ni wizi mtupuu

    NIMEIPENDA HII ASEE. Kuna kisa kimoja: Jamaa alienda na mke wa mtu Disko, wakati ameondoka, majirani wakamtonya mume kwamba mke wake ameondoka na hawala kwenda Disko. Mume akachukua panga na kuelekea penye Disko, akamkuta mlinzi mlangoni, akamwambia kiluchomleta, kwamba lazima amtende vibaya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania NAPE: Kuondoka kwa Mzee Kingunge Chama kimepata ahueni

    NAPE OTEA NANI ATAONDOKA CCM WIKI HII? Ukipata nakupa zawadi ya kadi ya Chadema au Cuf
  14. S

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Baba ako analo? Iga ufe
  15. S

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Utamu wa pipi ni mate
Back
Top Bottom