technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,680
- 58,686
Yes kuna aja ya kumiliki cha motoTeh teh teh hivi kama mwenyekiti wa mtaa anaweza kutapeli mwananchi wake eneo na hao maafisa wa ardhi wasiochaguliwa si wanatapeli hadi wake za watu?
This town needs guns.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alafu ikithibitika kama si kweli wakirudi mtaani sijui watasimulia nn waelewekeHao wenyeviti ambao wanaenda kwenye mikutano ya Makonda watakuwa na matatizo yao unaenda kudhalilishwa mbele ya watu bila taratibu za kisheria.
Ndo MC wa madaladalaNa huyo mwanamuziki anafanya nini hapo
Muda utaongea kiaje yaani?Muda utaongea tu wala tusipayuke saana
Eeeeh ukimwambia huyo bwana misifa atamfunga tuKuna mwenyekiti mmoja hivi wa huku kwetu simpendiiiiii! Siku madaladala akija kwetu namwambia tu huyu mwenyekiti kaiba kiamba changu mweshimiwa!! Anapigwa tanganyika jeki chap!! Analambishwa floor ya PT!! Hahahaaa nta enjoijee!!
Mkuu Mag3 haya yalitokea 2016, lakini badala ajirudi yeye ndio amekuwa sugu zaidi katika maamuzi ya kijinga jinga.Kama ni kweli hao waliovaa magwanda ni polisi, basi hatuna sheria, kanuni wala taratibu ndani ya nchi hii. Kama Makonda naye anafanya haya kwa baraka za Rais basi hatuna serikali. Hakuna tofauti kati ya kitendo ninachokishuhudia hapa na kile cha wananchi kujichukulia sheria mkononi na kumuua mwanachi kisa katuhumiwa mwizi. Yeyote anayefurahia kitendo cha Makonda kama inavyoonekana kwenye hii video naye ni hivyo hivyo, amekufa ingawa anatembea.