Magomeni: Basi lingine la UDART lagongwa

Magomeni: Basi lingine la UDART lagongwa

kwa hiyo hapo mnafata sheria umbali wa 10km kil siku mnagongwa sheria zipi mnafata hakuna madereva bwana hapo mmepewa Elimu miezi sita still mnagonga kila siku harafu unakuja kutetea ujinga hapa..
Hukunielewa mkuu, point yangu ipo very clear kwamba, haijalishi una uwezo wa kuendesha umbali gani au umefanya kazi ya udereva kwa kipndi gani, swala hapa ni kufuata kanuni na taratibu, hii pekee ndio itaondoa ajali za kipuuzi kama hizi, ukweli ni kwamba watz wengi hatupendi kufuata sheria na sio kwenye udereva tu, hapo ndio kwenye tatizo.
 
kwa hiyo hapo mnafata sheria umbali wa 10km kil siku mnagongwa sheria zipi mnafata hakuna madereva bwana hapo mmepewa Elimu miezi sita still mnagonga kila siku harafu unakuja kutetea ujinga hapa..

Kwanini point yako inalenga kuwashambulia madereva wa dar wakati ajali zinatokea kila leo sehemu mbalimbali za tz tena kwa makosa yaleyale ya kukaidi sheria zilizowekwa.
 
Kwanini point yako inalenga kuwashambulia madereva wa dar wakati ajali zinatokea kila leo sehemu mbalimbali za tz tena kwa makosa yaleyale ya kukaidi sheria zilizowekwa.
UDART haipo mpanda mnaligonga madereva wa dar kwa izi ajali mbili zilizotokea karibuni mkuu..
 
Hukunielewa mkuu, point yangu ipo very clear kwamba, haijalishi una uwezo wa kuendesha umbali gani au umefanya kazi ya udereva kwa kipndi gani, swala hapa ni kufuata kanuni na taratibu, hii pekee ndio itaondoa ajali za kipuuzi kama hizi, ukweli ni kwamba watz wengi hatupendi kufuata sheria na sio kwenye udereva tu, hapo ndio kwenye tatizo.
Ok sawa mkuu nimekuelewa vizuri sasa ivi..
 
Mwanzoni nilivyokuwa nikiona magari mazuri na makubwa najua na wanaqoyaendesha wana akili nzuri na kubwa japo baadae niligundua ni kinyume chake. Ebu angalia hiyo gari iliyosababisha ajali, ni SUV nzuri na ya bei. tulitegemea labda mwendesha PASSO ndiye afanye makosa haya! watanzania tuna matatizo mengi na kibaya zaidi hatujijui.
 
Alama za wapi pa kugonga U turn zimewekwa kwanini mtu agonge U turn pasipostahili, huyo unakamata hata kama ameumia unachapa viboko 24 halafu unapakia kwenye ambulance gari lake unapiga mnada hela ikakarabati basi la wananchi,jinga kabisa!!!
 
Huyo afungwe atie akili. Na wajinga wengine woote wanaotumia
 
Elimu labda kwa waenda kwa miguu. Madereva wote wenye leseni ina maana wamepitia mafunzo kwa hiyo wanajua alama za taarifa, onyo na tahadhari, udereva wa kujihami n.k. Kama kuna ambaye hajaenda shule ya udereva hahitaji elimu bali adhabu kali. Anaendeshaje gari bila mafunzo? Mbona haendi theatre kufanyia wagonjwa upasuaji?
watoe elimu kwa wale wanaoingia barabara za mitaani wengi hatuzifahamu tunaambiwa tu ukitoka kigogo kuelekea mjini maeneo ya magomeni hakuna kukata kulia nyooosha mbele mpaka wapi huko ndoo uingie uswahilini alafu uje utoke mapipa ndo uingie morogoro road kuelekea kariakoo

Hiii shida barabara za mitaani nyingi hazifahamiki
 
tanzania bado tuna safari ndeeefu ya ustaarabu,labda magufuli atufanyie safari twende Denmak kwa awamu tukajifunze
 
Back
Top Bottom