Recent content by SUNDIATAKEITA

  1. SUNDIATAKEITA

    JamiiForums Tanzania Sumu gani inaua mbwa au paka haraka?

    Samahani mkuu, Hii inatumika vipi?
  2. SUNDIATAKEITA

    JamiiForums Tanzania CLEARING AND FORWARDING OFFICER

    Thank you for all participants, Only shortlisted will be contacted.
  3. SUNDIATAKEITA

    JamiiForums Tanzania CLEARING AND FORWARDING OFFICER

    Habari, anahitajika kijana mwenye certificate au diploma ya Clearing and forwarding. Kwa mwenye uhitaji atume VYETI kweny email hii hamishusna07@gmail.com NAFASI NI MOJA, OFISI ZIPO POSTA DSM. wakwanza kuwasilisha Maombi atapewa kipaombele.
  4. SUNDIATAKEITA

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Humphrey Polepole kuonesha Msimamo wake wa kutochanjwa?

    Inasikitisha mnoo.. Upole, uungwana, hekma ya mtu inapo tasfiriwa kama "udhaifu"..pole pole gwajima na washirika wao. Kuna lugha wanaielewa...!! Nadhani wakati umewadia wa kuwaelewesha.. Kwa lugha hiyo..
  5. SUNDIATAKEITA

    JamiiForums Tanzania Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC nakukubali kiutendaji, ila acha kumdharau Senzo Mazingisa kwani hujafikia hata 15% tu ya uwezo wake

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1786344/
  6. SUNDIATAKEITA

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Chief Nahitaj vyumba viwili, sebule 'n jiko.. at very reasonable prices.. Viwe around magomeni.. Ubungo.. Sinza..!
  7. SUNDIATAKEITA

    JamiiForums Tanzania Nimeliwa pesa zangu na malaya

    Pm mkuu!!
  8. SUNDIATAKEITA

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata mkopo wa vifaa vya ujenzi

    .
  9. SUNDIATAKEITA

    JamiiForums Tanzania Walimu ajira mpya ngazi ya msingi hawajalipwa hela ya kujikimu tangu mwezi Julai

    Hata Wilaya ya misungwi mwanza.. Walimu hawajapokea hata centi c yakujikimu wala mshahara..
  10. SUNDIATAKEITA

    JamiiForums Tanzania Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Mabubu.. Viziwi.. Vipofu... Nao kamwe hawatorejea..!! Lengo lke ni kutafuta contradiction.. Na c kuelewa
  11. SUNDIATAKEITA

    JamiiForums Tanzania Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Mkuu.. It's too bad u've ur own conclusion on the matter!! Laiti lengo lako lingekuwa ni kuelewa.. Ni kitu kidoogo saana hicho.. Ungeelewa!! But lengo lako 'ni kukejeli.. Basi utafanikiwa ktk Hilo!! Huyo mtume Mohammad صلى الله عليه وسلم uliye mdhihaki NA kukejeli alipata kusema..' hakika kila...
  12. SUNDIATAKEITA

    JamiiForums Tanzania Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    Kweli chief.
  13. SUNDIATAKEITA

    JamiiForums Tanzania CPA kwa diploma level

    Ndiyo anaweza kusoma, Hata muhitimu wa kidato cha nne akiwa na vigezo a naruhusiwa kusoma. Tofauti ni stage atakayo anzia.
  14. SUNDIATAKEITA

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

    Kwa listory kama hili si max wala moderator wake woooooote lazma walisome[emoji109][emoji122][emoji122]
Back
Top Bottom