Recent content by Sum of fx

  1. Sum of fx

    JamiiForums Tanzania Hakuna muumini yeyote asiye muislamu ambaye anaweza kumchinja NGAMIA,huu ni uthibitisho tosha kwamba uislamu ndio dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu

    Dini hazitufikishi peponi,,ila ni matendo yako,sisi wakristo tunaamini kua Yesu ndio njia,sema Amen
  2. Sum of fx

    JamiiForums Tanzania Hakuna muumini yeyote asiye muislamu ambaye anaweza kumchinja NGAMIA,huu ni uthibitisho tosha kwamba uislamu ndio dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu

    Kuna kjiji kimoja songea huko, nilikua naishi nikawa nafuga kuku wa kienyeji na Kuna Binti wa kazi yy ni muislam ,nikawa naishi nae nikawa nikitaka kula kuku anasema nikichinja Mimi kibudu akawa anataka jirani muislam aje achinje na jamaa akichinja inatakiwa tumpe uchinjio yaani shingo na...
  3. Sum of fx

    JamiiForums Tanzania Hakuna muumini yeyote asiye muislamu ambaye anaweza kumchinja NGAMIA,huu ni uthibitisho tosha kwamba uislamu ndio dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu

    Mi naomba kuuliza humu jamii forum Kuna mtu amewahi kuchinja ngamia?
  4. Sum of fx

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Gaborone apigwa ngumi: TFF Ichukue Hatua Kulinda Taswira ya Tanzania

    Mi ni shabiki wa wanga,ila kwa hili sijapenda
  5. Sum of fx

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna msanii mwenye vocals kumzidi Mariah Carey?

    Kuna nyimbo nyingi zenye vocal mzuri,mfano wimbo wa juzi juzi wa Shania Twain forever and always,vocal mzuri mwanzo Hadi mwisho wa wimbo
  6. Sum of fx

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna msanii mwenye vocals kumzidi Mariah Carey?

    Sikiliza vizuri breath again,afu unakuja uniambie,vocal inategemeana na wimbo
  7. Sum of fx

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna msanii mwenye vocals kumzidi Mariah Carey?

    Mi naenda na whitney
  8. Sum of fx

    JamiiForums Tanzania Kujihukumu baada ya relapse.

    Usipende kukaa faragha ukiwa peke Ako kwa muda mrefu
  9. Sum of fx

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nyimbo za Tot ya Komba

    Mi naupendaga ule unaimbwa 'Wacha waisome namba' sijuagi mwimbaji ni nani
  10. Sum of fx

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Nipo hapa nawacheka wale wanaosemaga mchumba hasomeshwi,na mm nikipata mchumba ntamsomesha kama alivofanya ndugu UMUGHAKA
  11. Sum of fx

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa JF, naomba dakika chache za muda wenu

    Dah!
Back
Top Bottom