usidekeze mapenzi!

usidekeze mapenzi!

Mbona unaoneka una stress sana leo, nani amekuvuruga kipenzi jamani. Please calm down!

Hata kama mambo hayapo sawa sio vizuri kujianika kila mmoja ajue kuwa umevurugwa na mpenzi wako.

Just relax, acha maisha yaendeleee
We mgeni nini😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom