Recent content by Sultan_mdosse

  1. Sultan_mdosse

    Wapi nitapata JBL bluetooth speakers original Mwanza?

    Pale Mwanza hotel kuna maduka yanauza simu pamoja na speaker za JBL za kutosha, bila shaka utapata unayohitaji.
  2. Sultan_mdosse

    Namna gani naweza tumia Google Adsense kuniingizia kipato

    Pixabay.com utapata full HD pictures tena zisizo na copyright na bureee kbs
  3. Sultan_mdosse

    Natafuta mtu ambae atakuwa ana post kwenye blog

    Hiyo michezo tushafanya sana kutumia simu za watu ku click ads lkn jiandae adsense account itakuwa disabled mda si mrefu kwa kuwa na invalid click. 10$ sio rahisi kwa click 10, hapa bongo CPC hipo chini sana
  4. Sultan_mdosse

    Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

    Apps muhimu kbs kuwa nazo kwenye simu yangu ni hizi:- 1. Evernote 2. Lastpass 3. Utorrent 4. Any.do 5. Quora 6. Dropbox 7. Imdb 8. Oxford dictionary 9. Snaptube 10. Movie hd Etc.
  5. Sultan_mdosse

    Fahamu kuhusu VPN

    Natumia hotspot shield vpn premium...noma xn hii
  6. Sultan_mdosse

    Licha ya kuwa na vp bado WhatsApp haifanyi kazi

    Hotspot shield VPN premium hii balaa kbs inapiga kazi vizuri mno.
  7. Sultan_mdosse

    Ipi ni channel yako pendwa ya YouTube na ni kwanini?

    1.Mkbhd - Unbox na reviews za simu etc 2.Richstar - Adobe tutorials kwa kiswahili 3.Roman row - home workouts 4.Mrwhosetheboss - reviews za simu nk 5.Techgumbo - tech reviews na tutorials za pc 6.Millardayo - news updates
  8. Sultan_mdosse

    Hii ni kwa wale wadau wa Adsense, pita hapa

    Ikiwa disabled huwezi tena kuirudisha. Yangu nilifata process zote za ku-appeal lkn sikufanikiwa kuirudisha Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Sultan_mdosse

    New Music: Rich Mavoko - Ndegere, sikiliza kisha drop maoni yako

    Baada ya kuondoka ktk label ya WCB, Rich mavoko aachia nyimbo yake ya kwanza kama solo artist. Wimbo unaitwa NDEGELE umetaarisha na Abdady. sikiliza, download na kisha share kwa marafiki, Enjoy! >>> Music: Rich Mavoko - Ndegele | Download Mp3 - Best latest free music and videos downloading site
  10. Sultan_mdosse

    Wauza smartphone tukutane hapa

    iphone 5 sh. ngp?
  11. Sultan_mdosse

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nina laki tatu na nusu (350k) Nahitaji iphone 5s Nipo mwanza iwe used clean condition 16gb
  12. Sultan_mdosse

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkuu OTE="Abdulwahid, post: 19390179, member: 218718"]0654468393 mtafuteni huyo mshkaj anadili na tv ndogo bila ya shaka mtapata kwa bajeti hizo Mkuu, bajet ya laki 4 nitapata flat tv ya inch ngp na bei gan
  13. Sultan_mdosse

    Mbadala wa Kickass Torrent

    shukrani mkuu it works perfectly
  14. Sultan_mdosse

    Niulize chochote juu ya Chuo cha SAUT Mwanza na maisha ya huko

    3. Ukumbi bado haujakamilika mpaka sasa. 4.Rais ni AYO kutoka BAED 2
Back
Top Bottom