Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,283
- 13,717
Majukwaa yenu ya Mapenzi, Uhusiano huwezi kujua hivi vitu.....ndo nini?
Majukwaa yenu ya Mapenzi, Uhusiano huwezi kujua hivi vitu.....ndo nini?
shukrani mkuu it works perfectlyBaada ya kufungiwa kwa miez kadhaa ile website maarufu dunian ya kudowload movies,series,games,vitabu n.k imerudi hewan tena ila wamebadilisha domain tu
Inaitwa www.kickass.cd kwahiyo unaweza kuingia kudowload ni bure kabisa
kickass.cd
Kat.am
Extratorrent.com
Tumia hii mkuu kat.al
mi nikitafuta nachotaka, kuidownload inakuwa ishu, inaniletea mauza uza mengiBaada ya kufungiwa kwa miez kadhaa ile website maarufu dunian ya kudowload movies,series,games,vitabu n.k imerudi hewan tena ila wamebadilisha domain tu
Inaitwa www.kickass.cd kwahiyo unaweza kuingia kudowload ni bure kabisa
Njia rahisi tumia Telegram mkuu. Movies na series zimejaa kuleBaada ya kickass kufungiwa nini imekuwa mbadala wake ...mimi ni kama naumwa week ya pili sasa sina hamu ya kitu chochote. na kazini nako nimeom ruhusa maana sina hata raha ya kufanya kazi baada ya kickass kuwa blocked .