Vieloon
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,520
- 694
Tofauti ni internal memory na ram yaani 32gb kwa 3gb kwenye c9 plus...Parefu,inatofauti gani na ile ya kawaida?ukitaka nakupa mia3
Mkuu Nina 140000 tufnye biashra upo wapi?TECNO C7 HIYOOOOPOO
BADO MUPYAAA BEI YA OFA
170000 HAIPUNGUI HATA MIAAA
Ungekuwa Iringa ningeichukua kesho hiyoTecno c5 hapo kwa laki moja tu iko vzur nipo dar
SawaHallow wana JF, weka picha, mahali ulipo, contact zako na specifications za device yako.
Nanayo blackberry leapnatafuta blackberry Q20 mwenye nayo aje tuzungumze
mkuu hiyo hapanaNanayo blackberry leap
Poamkuu hiyo hapana
natafuta i phone 5s
Nataka Samsung note 5 mpya au used abroad, ikiwa T-Mobile version itakuwa poa zaidi whatsasp 0767328063
Samsung e7 a7 2016 inahitajika
Unayo ipi kati ya hizo?Offer yako shi ngapi boss?
Unayo ipi kati ya hizo?