Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,373
- 68,470
!!Papaa mulongo mtu ya congo bado yupo? je alishaacha kupanick akiulizwa maswali? je bsdo anavaa zile suruali na shat kubwa kubwa za buku jero? napenda kutambua mzee wa Guidance and Counselling Fr Maziku kama yupo, je.... maina na dadaake Munga, walishaacha kukamata watu? MWISHO kabisa n mzee wa GOD IS NOT FAIR mzee wa hasira SIJJO bado yupo?!?