SAUT Waachia majina waliochaguliwa kupitia TCU

Bn hawaelek eti kuanzia tarehe 3 Oct wakat majina wametoa Jana na tarehe 11 watu wanaanza kusoma
 
Hawa saut hawaeleweki kabisa majina yametoka jana wanasema repoting ndio ile ile ya tarehe 3 wengine wanatoka dar mbali
 
Kuripoti sio lazima siku iyo waliyosema reg uendelea ata wiki mbili au tatu hvyo usiofu ndugu
 
Back
Top Bottom