Hii ni kwa wale wadau wa Adsense, pita hapa

Kama iko Disabled nadhani kuna sehemu unaenda una enable na kuendelea kama kawaida.

Ila ikiwa suspended ndio kwaheri.
 
Kama iko Disabled nadhani kuna sehemu unaenda una enable na kuendelea kama kawaida.

Ila ikiwa suspended ndio kwaheri.
nani alikusimulia mkuu... ukila disable ni permanent mkuu.. ila wakisuspend ni temporarily.. disabled accounts haziwezi kurudi tena na hakuna namna ya kuwaconvirce wakairudisha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me naitaj kufungua ila sas kila niikiingiza blog name yangu wananiambia invalid
Nimetumia blogger kufungua akaunt
Screenshot_20200216-085241.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Chanel ya Youtube inauzwa ina subscribers 6.6k yaani 6600 inakaribia kutimiza subscribers 7000 au 7k inalipwa tayari ina matangazo kwenye kila video pia inatazamwa na watu sana kuna video ina views elf66 yaani 66k views, 23k, 11k na zingine nyingi.. Dora zinasoma kweny dashboard, kwa alie serious njoo tuongee 0756 695846 call, WhatsApp or sms me*
 
Now days ni ngumu sana na ata ukipata traffic itakusumbua coz blog yako itaonekana kama vle unajifunza.
N kwel mkuu pana kaugum flan. ila ukikomaa unapata mm nlipata bila domain mwak Jana na kuna jamaa alinfata Bobo nkamuelekez jins ya ku apply naye akapat kwa free domain.
 
Back
Top Bottom