Recent content by Suleiman Kinunda

  1. S

    JamiiForums Tanzania msaada kwa wanasheria

    what does it mean by the following latin maxime "delegatus non potest delegare"
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania ones mitihani ya form six

    teh teh teh T.O wa sasa hv Juma kaseja
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada Wana JF. Naomba kujuzwa mikoa au wilaya zenye Waislam wengi hapa Tanzania bara.

    Rufiji,kondoa,pemba,unguja,tanga,lindi,mtwara
  4. S

    JamiiForums Tanzania Diamond akipaka wanja!

    Sipo kwa diamond nipo na tafsiri ya sunnah, sunnah ni matendo aliyofanya mtume Muhammad (s.a.w) na mtume alikuwa mwanaume hivyo yani
  5. S

    JamiiForums Tanzania mpenz>uchumba>ndoa

    habari
  6. S

    JamiiForums Tanzania Vuguvugu la UDINI: Biblia takatifu yakojolewa huko Tanga

    Teknolojia cyo yako peke yako nani kakuambia quran haipatikani humo?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Redio imani: Tcu imewekwa kudhoofisha uislamu

    Kusoma hadi ku-comment inaonyesha na wewe humo ninavyojua mimi anayemjadili mwenye akili ndogo yeye anakuwa na akili ndogo zaid
  8. S

    JamiiForums Tanzania Redio imani: Tcu imewekwa kudhoofisha uislamu

    Hivi na ww unaweza kujiita msomi kwa kuridhika na heading tu? Ama kweli nyani haoni kundule unajua kilichozungumzwa ndani yake? Siyo nyie wenyewe mlioanza kuiponda tcu kuwapeleka watu course wasiochagua na maovu yao kibao au kunya anye kuku akinya bata.......!!! Kisa aliyewaponda ni muislamu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Je kuna kuna mwachuo aliyechaguliwa pasipo ombi lake?

    wapo tena wengi tu hamna mtu aliyeomba course ya computer science ifm ila wamechaguliwa zaidi ya 300 kwani kwenye guide book hakukuwa na course hiyo
  10. S

    JamiiForums Tanzania tabora:kwanini vyuo vikuu vimechelewa kuanzishwa?

    Mbinu mbovu za kiongozi wa wakati huo ndizo zilizopelekea maeneo ya pwani mengi kutokuwa na maendeleo ingawa maendeleo yamezaliwa huko ikumbukwe kilwa ndo mji wa kwanza kutumika pesa
  11. S

    JamiiForums Tanzania tabora:kwanini vyuo vikuu vimechelewa kuanzishwa?

    Haijaulizwa dini
  12. S

    JamiiForums Tanzania tabora:kwanini vyuo vikuu vimechelewa kuanzishwa?

    Shule iliyoongoza kitaifa mitihani ya form 6 inatokea bagamoyo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Shule ipi nzuri kwa a-level wavulana

    tambaza sec itamfaa sana
  14. S

    JamiiForums Tanzania hodi hodi

    Shukrani assee
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ulipaji wa tution fee ifm

    Km unao uwezo unashauriwa kulipa kiasi chote kilichobakia b4 14th oct na km inashindikana unatakiwa ulipe 60% ya 800000 plus direct cost ambayo ni sawa na 150000
Back
Top Bottom