Ulipaji wa tution fee ifm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulipaji wa tution fee ifm

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by HASIRA HASARA, Oct 6, 2012.

 1. H

  HASIRA HASARA Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanajamvi nimepata mkopo na loan batch za ifm zinasema tution fee watanilipia 700000 swali langu je mimi nitalipa 800000 iliyobaki au nitalipa kulingana na joining instruction inavyosema yaani 60% ambayo ni 900000 hapa sielewi kidogo mwenye uelewa na idea anisaidie
   
 2. S

  Suleiman Kinunda Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Km unao uwezo unashauriwa kulipa kiasi chote kilichobakia b4 14th oct na km inashindikana unatakiwa ulipe 60% ya 800000 plus direct cost ambayo ni sawa na 150000
   
Loading...