Recent content by Subren

  1. S

    JamiiForums Tanzania Niliuwa kwa kukusudia-1

    inakuaga lin na lin kwan m kila nikija naikuta iko mbele na miss baadhi ya episodes...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mama amtembeza mumewe kama mbwa baada ya kumfumania na mwanamke mwingine..!! Tazama picha hapa

    Hahahaha ni nouma jamaa anaburuzwa kurudishwa njia kuu,kwel michepuko n soo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natamani sasa kuolewa

    Maamuz ya mwisho n yako lkn kumbuka mapenz yanaishia hapahapa dunian sister huyo jamaa hatakutetea mbingun...na unaweza ukabidili dini kwa sababu ya mtu na bado akakutosa mbelen,hebu tafakari sana kabla hujamkana YESU afu mek sure unaijua vizur iman yako.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natamani sasa kuolewa

    Usijipe moyo mama et kua MUNGU ni mmoja ndo sbb ya kubadili dini na YESU je nae vipi, kuna tofauti kubwa sana kati ya hizi dini 2 unless useme hata huo ukristo huujui vizuri
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sina hamu ya kupenda...

    Pole sana lkn kwa upande mwingne mshukuru MUNGU angekuoa afu ikawa ivo ungeumia zaid move on sis utapata atakae kupenda kwa dhati,pliz usivunjwe moyo na wasiojua kupendwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ngoja anipigie simu ananiona ----...!

    Kaka imepita mda gan tangu umbambe uyo dem
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume bwana!

    Honestly yan kitu chochote kabla hujakagua ndan c unaanza na nje ndugu yangu...then ndo unazama ndan,kuchek housing n muhim then unamalizia na engine...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hili lina nitatiza kidogo Wajameni!

    Umeona eeenh angalau upande wa simu na yy anakupoa poa na imfariji kwny folen za daladala...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anawashwa sana

    Mpe pole sana,ila pamoja na vipimo mpeleke kwa dr anaehucka na shida yake usiende kwa general doctors wala kufanya general checking,anahitaji specific investigation huenda ikawa fungus au hata allergy nk...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sikuachana nae vizuri

    Jamaa anajitoa mhanga kabisa,apa nahis uzoba unahucka m nackiaga tu mtu amfuma live mpenz wke akigegedwa afu kesho yake et wako pamoja hadharan mabusu na i love u kibaooo,nahis mioyo ya chuma n kwel ipo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri,nimfanyeje huyu binti

    Achana nae huyo mkuu dem tamaa mbele,ukimrudia this tym atakutenda utachanganyikiwa kabisa,ila mwache kistaarabu apande fundisho...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Masikini my ex, kweli malipo ni hapahapa duniani

    Mpotezee uyo bro asingeachika huko unadhan angerudi? hana mapenz ya kweli yuko after material things...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri,nimfanyeje huyu binti

    Vp ulishajua sababu ya yy kukuacha?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri,nimfanyeje huyu binti

Back
Top Bottom