Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
du akipata bao anapona, safi sana sasa ulishajua dawa, we endelea kumpa kutwa mara 8, ila vipi ulicheki na magonjwa ya zinaa?
Huwashwa sana sehemu za chini, alishaenda kupimwa hakukutwa na ugonjwa wowote, hii humtokea mara moja moja saana, ila hanuki hata kidogo. na nimsafi sana wa huko chini, ila akiwa katika hali hiyo akisha pata bao kunanyamaza kuwasha. jee hii ni kawaida kwa wanawake woote?
Mwambie aache kuvaa vimin na visurual vya kubana atapona tu!Huwashwa sana sehemu za chini, alishaenda kupimwa hakukutwa na ugonjwa wowote, hii humtokea mara moja moja saana, ila hanuki hata kidogo. na nimsafi sana wa huko chini, ila akiwa katika hali hiyo akisha pata bao kunanyamaza kuwasha. jee hii ni kawaida kwa wanawake woote?
Test ya magonjwa yoote ya zinaa, akachukuliwa damu, infact ilikuwa genaral checking. Mpaka HIV
Mtu akiwa na fungus anakuwa anawashwa na kutoka ute mzito ka mtindi yaani mapachupachu ambayo hayana harufu!Hana. Na watakuwa wa aina gani wasioonekana kwenye vipimo. Labda kama walivyoshauri wengine labda ni kuwashwa kwa nyege. I dont know
Mkuu jaribu kuangalia haya nimeibua kwa ku Google:
Vaginal itching is an uncomfortable and sometimes painful symptom that is often caused by irritating substances, treatable and preventable infections, or menopause. In rare cases, itching may occur due to stress or can be a sign of vulvar cancer. Your gynecologist can determine the cause of your itching through an examination and testing. He or she will then be able to recommend appropriate treatments for this uncomfortable symptom.
Pia kuna haya hapa japo mengine yanajirudia:
Although vaginal itching is the hallmark of yeast infections and other vaginal infections (including sexually transmitted diseases, STDs), itching in the vagina and vulvar areas has multiple causes. Vaginal itching can also arise due to chemical irritants that may be found in detergents or soaps, douches and vaginal creams, toilet paper, bath feminine hygiene products, and vaginal contraceptive products.
Women in the menopausal transition may experience vaginal itching due to fluctuations in estrogen levels. As estrogen levels decline in the peri-menopause, the vaginal wall becomes thinner and drier, and itching may result.
Some studies have shown a link between psychological stress and vaginal yeast infections. This is likely due to the fact that stress is known to have a negative effect on the immune system and could possibly increase the likelihood of getting a yeast infection in Women and Men.
Patients may experience the related symptoms of Vaginal Odor, Vaginal Discharge, and/or Vaginal Dryness.
Ahsante sana aisee