Naombeni ushauri,nimfanyeje huyu binti

Naombeni ushauri,nimfanyeje huyu binti

Si ajabu huko ambako alikuwa ameenda katolewa nduki sasa anataka kurudi kwako tena
 
huwa sielewagi watu kama nyie mtu alikwambia live kuwa hakupendi na akaamua kukuacha saizi anajirudi kukuomba msamaha mwanamme kuwa na msimamo usikuwa kupimwa akili mwambie staki na staki kuona ukinisumbua tena songa mbele tafuta hela kwa uchungu kuna siku mungu atakupa atakayetunza moyo wako na kuuhifadhi ukimkubalia anakuwa anakuona wewe zuzu na kuwa huwezi muacha na kuna siku utatukanwa ili upimwe akili maisha ya kupimana akili si maisha mbali ni kuumizana moyo
umenena ukweli vampire... Watu wazima kupimana akili ndiyo biashara gani hizo...
 
ilikua jumatatu, tarehe 10 mwezi wa 6 mwaka 2013,niko kwenye msiba wa kaka angu(rip bro).. Ilikua kama sa 2 hivi usiku niko kwenye kikao tukijadili na kupanga taratibu za mazishi,kuhifadhi mpendwa wetu.

Nikiwa kikaoni nikasikia mtetemo kwenye sim yangu ikiashiria ujumbe mfupi umeingia,sikua na haraka ya kuusoma,nikijua baada ya kikao ntausoma,ndio ntakua na muda mzuri wa kusoma ujumbe huo,hata hivyo mimi ndie nilikua katibu wa kikao,nikakipa kikao uzito zaidi.

Ilipofika sa 4 kama na nusu hivi kikao kimeisha, nikasikia mlio wa sim,ilikua ni sim yangu ikiita,nikaitoa mfukoni kuipokea,kusoma jina ni la kipenzi cha moyo wangu,nikatabasam kwa mbali nikijua mpenzi wangu kanipigia kujua naendeleaje,ile napokea tu sim ikakata.

Nikajua mamaa kaishiwa pesa,nikaenda hewani,simu ikaita kidogo kisha nikasikia"simu ya mteja uliepiga inatumika" ikiashiria sim imekatwa,nikakata sim,mara kidogo nikapokea ujumbe kutoka mpenzi wangu

"nilitaka kujua kama meseji umeipata,sitaki mapenzi na wewe,futa namba yangu" nikashtuka kidogo,nikajua ni utani,kisha nikataka kujua ni ujumbe gani huo

nikaenda inbox nikakuta ujumbe uliokua umetumwa haujasomwa ni wake akinijulisha mimi na yeye basi. Nikampigia sim hapokei,nikatuma ujumbe hakujibu. Msiba wa ndugu yangu ukawa mchungu zaidi

siku zikaenda hivyo nikiwa siamini kilichotokea,bila ugomvi,bila sababu ya msingi nikawa nimeachwa. Nikatumia kila mbinu kumbembeleza na kumshawishi,kupitia kwa ndugu zake,marafiki zangu na ndugu zangu akagoma.

Ratiba zetu ilikua mwezi wa kumi mwaka jana nikajitambulishe rasmi,mwezi wa pili mwaka huu tufunge ndoa . Mipango hiyo ikawa imekufa. Niliyumba sana baada ya hilo tukio,nimejikaza nikasimama kiume ila kwa maumivu makali sana.

Kituko cha mwaka ni kua binti huyo kamwambia rafiki yangu kua bado ananipenda na anatamani turudiane, hadi naandika ujumbe huu huyo binti toka juzi anapiga sim(sijapokea simu yake hata moja) na kutuma ujumbe akiniomba nimsamehe

wadau,nimrudie kisha nimtende kama alivyonifanya au nimuache aendelee na maisha yake(sina hisia nae tena na wala simpendi,,namchukia sana,natamani kisasi juu yake),ebu nishaurini wandugu.
duh pole rafiki, shit happen maishani chungulia moyo unasemaje then amua, hilo la muhim.
 
pole sana bro, ila chakukushaur uclipe kisasi, we achana nae kabisa, inaonyesha ni jinc gan huyo mschana acvyokuwa hata na tone la huruma, m2 uko kwenye msba alaf tena yeye anakutumia sms yakuachana nae, kwa nn acngekusubiria ukamaliza msiba then ndio akuambie ujinga wke, temana nae, Omba Mungu atakupa msichna mwengne mzur tu mwenye huruma, na heshma na upndo
IMAGINE!!!!!!!!! MTU ANAMACHUNGU AKAAMUA YAJAZIA JUU, HANA BUSARA NA HEKIMA WALA! HATA KAMA HUMPENDI MTU U MUST THINK TWICE KUMUUMIZA KATIKA HALI GANI.:shock:
 
Nilijua baadae,alimpata mjamaa ambae alikua wel off kifedha kuliko mimi,unajua kumiliki binti mzuri mjini huna hela majaribu kama haya yanakua hayakwepeki.

Achana nae huyo mkuu dem tamaa mbele,ukimrudia this tym atakutenda utachanganyikiwa kabisa,ila mwache kistaarabu apande fundisho...
 
Achana nae unaweza kurudiana nae kwa lengo la kumtenda ukajikuta umetendwa zaidi wanawake noma ww huwezi jua kajipanga vp yy co mjng
 
never listen Ur heat use Ur mind,
bare in mind that an old law of an eye to an eye leaves the whole world behind
 
Ilikua jumatatu, tarehe 10 mwezi wa 6 mwaka 2013,niko kwenye msiba wa kaka angu(RIP BRO).. Ilikua kama sa 2 hivi usiku niko kwenye kikao tukijadili na kupanga taratibu za mazishi,kuhifadhi mpendwa wetu.

Nikiwa kikaoni nikasikia mtetemo kwenye sim yangu ikiashiria ujumbe mfupi umeingia,sikua na haraka ya kuusoma,nikijua baada ya kikao ntausoma,ndio ntakua na muda mzuri wa kusoma ujumbe huo,hata hivyo mimi ndie nilikua katibu wa kikao,nikakipa kikao uzito zaidi.

Ilipofika sa 4 kama na nusu hivi kikao kimeisha, nikasikia mlio wa sim,ilikua ni sim yangu ikiita,nikaitoa mfukoni kuipokea,kusoma jina ni la kipenzi cha moyo wangu,nikatabasam kwa mbali nikijua mpenzi wangu kanipigia kujua naendeleaje,ile napokea tu sim ikakata.

Nikajua mamaa kaishiwa pesa,nikaenda hewani,simu ikaita kidogo kisha nikasikia"simu ya mteja uliepiga inatumika" ikiashiria sim imekatwa,nikakata sim,mara kidogo nikapokea ujumbe kutoka mpenzi wangu

"nilitaka kujua kama meseji umeipata,sitaki mapenzi na wewe,futa namba yangu" nikashtuka kidogo,nikajua ni utani,kisha nikataka kujua ni ujumbe gani huo

Nikaenda inbox nikakuta ujumbe uliokua umetumwa haujasomwa ni wake akinijulisha mimi na yeye basi. Nikampigia sim hapokei,nikatuma ujumbe hakujibu. Msiba wa ndugu yangu ukawa mchungu zaidi

Siku zikaenda hivyo nikiwa siamini kilichotokea,bila ugomvi,bila sababu ya msingi nikawa nimeachwa. Nikatumia kila mbinu kumbembeleza na kumshawishi,kupitia kwa ndugu zake,marafiki zangu na ndugu zangu akagoma.

Ratiba zetu ilikua mwezi wa kumi mwaka jana nikajitambulishe rasmi,mwezi wa pili mwaka huu tufunge ndoa . Mipango hiyo ikawa imekufa. Niliyumba sana baada ya hilo tukio,nimejikaza nikasimama kiume ila kwa maumivu makali sana.

Kituko cha mwaka ni kua binti huyo kamwambia rafiki yangu kua bado ananipenda na anatamani turudiane, hadi naandika ujumbe huu huyo binti toka juzi anapiga sim(sijapokea simu yake hata moja) na kutuma ujumbe akiniomba nimsamehe

Wadau,nimrudie kisha nimtende kama alivyonifanya au nimuache aendelee na maisha yake(sina hisia nae tena na wala simpendi,,namchukia sana,natamani kisasi juu yake),ebu nishaurini wandugu.

achana nae
 
Kisasi ni juu ya Mungu my brother! Msamehe bure tu, as you say kwamba huna hisia nae tena wala humpendi nakushuri mchane live tu kuwa huna mapenzi na yeye tena. Kata mawasiliano and kama upo kwenye mahusiano kuwa busy na mpenzi wako.
 
Bado unampenda that's why unamchukia sana so kama ukiamua kurudiana naye achana na habari ya visasi
 
"
Giving an ex a second chance is like providing someone with another bullet after they missed shooting you the 1st time."
 
Ilikua jumatatu, tarehe 10 mwezi wa 6 mwaka 2013,niko kwenye msiba wa kaka angu(RIP BRO).. Ilikua kama sa 2 hivi usiku niko kwenye kikao tukijadili na kupanga taratibu za mazishi,kuhifadhi mpendwa wetu.

Nikiwa kikaoni nikasikia mtetemo kwenye sim yangu ikiashiria ujumbe mfupi umeingia,sikua na haraka ya kuusoma,nikijua baada ya kikao ntausoma,ndio ntakua na muda mzuri wa kusoma ujumbe huo,hata hivyo mimi ndie nilikua katibu wa kikao,nikakipa kikao uzito zaidi.

Ilipofika sa 4 kama na nusu hivi kikao kimeisha, nikasikia mlio wa sim,ilikua ni sim yangu ikiita,nikaitoa mfukoni kuipokea,kusoma jina ni la kipenzi cha moyo wangu,nikatabasam kwa mbali nikijua mpenzi wangu kanipigia kujua naendeleaje,ile napokea tu sim ikakata.

Nikajua mamaa kaishiwa pesa,nikaenda hewani,simu ikaita kidogo kisha nikasikia"simu ya mteja uliepiga inatumika" ikiashiria sim imekatwa,nikakata sim,mara kidogo nikapokea ujumbe kutoka mpenzi wangu

"nilitaka kujua kama meseji umeipata,sitaki mapenzi na wewe,futa namba yangu" nikashtuka kidogo,nikajua ni utani,kisha nikataka kujua ni ujumbe gani huo

Nikaenda inbox nikakuta ujumbe uliokua umetumwa haujasomwa ni wake akinijulisha mimi na yeye basi. Nikampigia sim hapokei,nikatuma ujumbe hakujibu. Msiba wa ndugu yangu ukawa mchungu zaidi

Siku zikaenda hivyo nikiwa siamini kilichotokea,bila ugomvi,bila sababu ya msingi nikawa nimeachwa. Nikatumia kila mbinu kumbembeleza na kumshawishi,kupitia kwa ndugu zake,marafiki zangu na ndugu zangu akagoma.

Ratiba zetu ilikua mwezi wa kumi mwaka jana nikajitambulishe rasmi,mwezi wa pili mwaka huu tufunge ndoa . Mipango hiyo ikawa imekufa. Niliyumba sana baada ya hilo tukio,nimejikaza nikasimama kiume ila kwa maumivu makali sana.

Kituko cha mwaka ni kua binti huyo kamwambia rafiki yangu kua bado ananipenda na anatamani turudiane, hadi naandika ujumbe huu huyo binti toka juzi anapiga sim(sijapokea simu yake hata moja) na kutuma ujumbe akiniomba nimsamehe

Wadau,nimrudie kisha nimtende kama alivyonifanya au nimuache aendelee na maisha yake(sina hisia nae tena na wala simpendi,,namchukia sana,natamani kisasi juu yake),ebu nishaurini wandugu.

Achana nae
 
kama aliweza kukuacha siku ya msiba wa kaka yako...... leo unaomba urudiane mmh na waswas unaeza mfumania siku ya harusi incase ukimrudia
all in all a real man never pay a revenge just move one n mdharau kama alivo!!!!!
 
anachezea shiling kwenye choo cha mabanzi
 
Songa mbele kaka ucrud nyuma, yan ulmbembeleza na ukatumia hadi ndg akakataa then umrudie! utakuwa umeonyesha udhaif mkubwa sana
 
Kiukweli maumivu ya mapenzi yanauma kuliko hata jeraha, katika mahusiano siku zote lazima uwe na mambo kadhaa kama mingi kupima mwenendo wa mapenzi mahusiano yenu.
Inauma sana unapojitoa kwaajili ya mtu mwisho wa siku unaambulia kuchuma maumivu, kama aliweza kukuacha bila sababu ili kukidhi haja ya mwili, akaona furaha yake haiko kwake nikipi leo kitamfanya akuone wa thamani, mapenzio sio ngono ni zaidi hapo.

Wewe kama mtoto wa kiume unapaswa kuwa na msimamo katika maamuzi yako, jaribu kuchua muda wako kujiuliza ni kipi alikuwa anakosa kwako je ulimtimizia kila hitaji lake kadri ya uwezo wako je alikuwa nayafurahia mahusiano, siku zote umhimu wa kitu uonekana kinapokosekana.
 
Ilikua jumatatu, tarehe 10 mwezi wa 6 mwaka 2013,niko kwenye msiba wa kaka angu(RIP BRO).. Ilikua kama sa 2 hivi usiku niko kwenye kikao tukijadili na kupanga taratibu za mazishi,kuhifadhi mpendwa wetu.

Nikiwa kikaoni nikasikia mtetemo kwenye sim yangu ikiashiria ujumbe mfupi umeingia,sikua na haraka ya kuusoma,nikijua baada ya kikao ntausoma,ndio ntakua na muda mzuri wa kusoma ujumbe huo,hata hivyo mimi ndie nilikua katibu wa kikao,nikakipa kikao uzito zaidi.

Ilipofika sa 4 kama na nusu hivi kikao kimeisha, nikasikia mlio wa sim,ilikua ni sim yangu ikiita,nikaitoa mfukoni kuipokea,kusoma jina ni la kipenzi cha moyo wangu,nikatabasam kwa mbali nikijua mpenzi wangu kanipigia kujua naendeleaje,ile napokea tu sim ikakata.

Nikajua mamaa kaishiwa pesa,nikaenda hewani,simu ikaita kidogo kisha nikasikia"simu ya mteja uliepiga inatumika" ikiashiria sim imekatwa,nikakata sim,mara kidogo nikapokea ujumbe kutoka mpenzi wangu

"nilitaka kujua kama meseji umeipata,sitaki mapenzi na wewe,futa namba yangu" nikashtuka kidogo,nikajua ni utani,kisha nikataka kujua ni ujumbe gani huo

Nikaenda inbox nikakuta ujumbe uliokua umetumwa haujasomwa ni wake akinijulisha mimi na yeye basi. Nikampigia sim hapokei,nikatuma ujumbe hakujibu. Msiba wa ndugu yangu ukawa mchungu zaidi

Siku zikaenda hivyo nikiwa siamini kilichotokea,bila ugomvi,bila sababu ya msingi nikawa nimeachwa. Nikatumia kila mbinu kumbembeleza na kumshawishi,kupitia kwa ndugu zake,marafiki zangu na ndugu zangu akagoma.

Ratiba zetu ilikua mwezi wa kumi mwaka jana nikajitambulishe rasmi,mwezi wa pili mwaka huu tufunge ndoa . Mipango hiyo ikawa imekufa. Niliyumba sana baada ya hilo tukio,nimejikaza nikasimama kiume ila kwa maumivu makali sana.

Kituko cha mwaka ni kua binti huyo kamwambia rafiki yangu kua bado ananipenda na anatamani turudiane, hadi naandika ujumbe huu huyo binti toka juzi anapiga sim(sijapokea simu yake hata moja) na kutuma ujumbe akiniomba nimsamehe

Wadau,nimrudie kisha nimtende kama alivyonifanya au nimuache aendelee na maisha yake(sina hisia nae tena na wala simpendi,,namchukia sana,natamani kisasi juu yake),ebu nishaurini wandugu.
nahisi bado unanpenda,kama unampenda basi mrudie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom