Hili lina nitatiza kidogo Wajameni!

Hili lina nitatiza kidogo Wajameni!


Mkuu kwahiyo unataka mwenye galaxy note three aiuze anunue hummer au?

Nakusudia simu yoyote ya Bei Mbaya! kama hii

Google-Nexus-5-1.jpg Google-Nexus-5-4.jpg
 
Uwezo wa kununua gari hana, hata samsung galaxy asimiliki!!!
 
Sasa niambie yupi bi bora mwenye hammer na sim ya kitochi au anayepanda dalaldala na samsung galaxy note III:smile-big:
  1. Kuwa na simu nzuri ni kupenda kwani inategemea na matumizi ya mtu binafsi mwengine sim anatumia kupiga na kupokea tu,wengine wanamatumizi ya ziada.
  2. Kwa kuangalia juujuu mtu mwenye gari nzuri na sim mbaya ana maarifa zaidi coz kawekeza kwenye usafiri na si sim…isitoshe huwezi jua yanayomsibu mpaka anatumia sim hio labda aliibwa Galaxy note III
  3. Kuna watu wanakuwa na sim zaidi ya moja kwa maana hio wana sim nzuri na tochi…na wanatumia zaidi ta tochi kwenye kadamnasi kuhofia wasije ibiwa ile nzuri
 
No! sio same dude. Unakuta Mtu yumo ndani ya Usafiri wa Maana na yupo comfortable na Kinokia cha Toch. Then una mkuta mtu ndani ya Daladala Tena kasimama, anachart na Sumsung Galaxy note III.

I don't get a clearer Picha Here!
Pia inabidi uwalinganishe na elimu yao, na ujuzi wao wa tecnologia a.k.a TEKINOHAMA. Then unaweza conclude why huyu ana expensive car lakini anamiliki simu ya torch and vesivesa.
 
No! sio same dude. Unakuta Mtu yumo ndani ya Usafiri wa Maana na yupo comfortable na Kinokia cha Toch. Then una mkuta mtu ndani ya Daladala Tena kasimama, anachart na Sumsung Galaxy note III.

I don't get a clearer Picha Here!

Inawezekana mwenye hammer aliwahi kuibiwa simu yake kwa hivyo akaapa kwamba hatanunua tena simu ya maana.

Ndiyo maana akabaki na kitochi.

Halafu kitochi sehemu yo yote ya nchi kinafanya kazi tafauti na hizo nyengine ukienda nazo maporini zinabaki kuwa mapambo tu.
 
Why is it a big deal anyway?

If I use a hummer or bus, at the end of the day I will get where I wanna be.

If I use a note 3 or a torch phone I will put the message forward
 
Au weka hivi

una laptop na unapanda daladala

una hummer na huna laptop
 
hayo mawazo ndo yanaongeza foleni dar kwenu.
 
Au weka hivi

una laptop na unapanda daladala

una hummer na huna laptop

Kumiliki laptop na kujua matumizi yake sahihi, ndio mwanzo wa kupata usafiri.
 
havina uhusiano ni kila mtu alivyo na mahitaji na priorities zake mchaga na Toyota stout/pick up,muhaya na Benz
 
Mwenye guu la bia anavaa suruali na mwenye .........anavaa kimini.
 
Hamjanielewa Mantiki yangu. Milion Moja ukiitumia vizuri, baada ya Mwaka mmoja, unanua Usafiri wako. Usiniambie kua Ukiwa na Usafiri wako na pesa ya mawese, utapanda daladala !!
 
Mweh... I phone inanisaidia kuingia JF nikiwa kwenye foleni. Mbali na JF ntasoma habari nyingi zinazotokea duniani. Sasa mwenye Hammer ataingia JF saa ngapi akiwa kwenye folen make muda.wote yuko busy kufuata foleni???

All in all kila mtu ana priorities zake katika maisha.
Kuna wanaonunua gari la 20m lakini hana hata kiwanja, kuna wanaofanya biashara za more than 50m lakini hawana magari.....
 
Back
Top Bottom