mpumbafu hulilia matatizo,mpumbali hupenda shida,mpumbafu hujali jinsi nafsi yake inavyomtuma hata kama ni kwatendo baya,mpumbafu hufkiria mabaya yasiokuwa na faida.mpumbafu hajiamini kwa jambo atendalo.amekusaliti umefaham eti unampenda?dah!huoni kuwa wajitafutia kifo kama huko alipo kanasa?hlo umeshalifkiria?akikusaliti ukafaham no discussion its red card forever hata mbwa anapojeruhiwa harudi mahali pale so iweje umpende m2 mjinga,-----,mwenyekujirahisisha na asiodhamini penzi lako?pole nahic utakuwa na tatizo.bt bnafsi ukizngia forever huishi ktk nafsi yangu