Naombeni ushauri,nimfanyeje huyu binti

Naombeni ushauri,nimfanyeje huyu binti

Ilikua jumatatu, tarehe 10 mwezi wa 6 mwaka 2013,niko kwenye msiba wa kaka angu(RIP BRO).. Ilikua kama sa 2 hivi usiku niko kwenye kikao tukijadili na kupanga taratibu za mazishi,kuhifadhi mpendwa wetu.

Nikiwa kikaoni nikasikia mtetemo kwenye sim yangu ikiashiria ujumbe mfupi umeingia,sikua na haraka ya kuusoma,nikijua baada ya kikao ntausoma,ndio ntakua na muda mzuri wa kusoma ujumbe huo,hata hivyo mimi ndie nilikua katibu wa kikao,nikakipa kikao uzito zaidi.

Ilipofika sa 4 kama na nusu hivi kikao kimeisha, nikasikia mlio wa sim,ilikua ni sim yangu ikiita,nikaitoa mfukoni kuipokea,kusoma jina ni la kipenzi cha moyo wangu,nikatabasam kwa mbali nikijua mpenzi wangu kanipigia kujua naendeleaje,ile napokea tu sim ikakata.

Nikajua mamaa kaishiwa pesa,nikaenda hewani,simu ikaita kidogo kisha nikasikia"simu ya mteja uliepiga inatumika" ikiashiria sim imekatwa,nikakata sim,mara kidogo nikapokea ujumbe kutoka mpenzi wangu

"nilitaka kujua kama meseji umeipata,sitaki mapenzi na wewe,futa namba yangu" nikashtuka kidogo,nikajua ni utani,kisha nikataka kujua ni ujumbe gani huo

Nikaenda inbox nikakuta ujumbe uliokua umetumwa haujasomwa ni wake akinijulisha mimi na yeye basi. Nikampigia sim hapokei,nikatuma ujumbe hakujibu. Msiba wa ndugu yangu ukawa mchungu zaidi

Siku zikaenda hivyo nikiwa siamini kilichotokea,bila ugomvi,bila sababu ya msingi nikawa nimeachwa. Nikatumia kila mbinu kumbembeleza na kumshawishi,kupitia kwa ndugu zake,marafiki zangu na ndugu zangu akagoma.

Ratiba zetu ilikua mwezi wa kumi mwaka jana nikajitambulishe rasmi,mwezi wa pili mwaka huu tufunge ndoa . Mipango hiyo ikawa imekufa. Niliyumba sana baada ya hilo tukio,nimejikaza nikasimama kiume ila kwa maumivu makali sana.

Kituko cha mwaka ni kua binti huyo kamwambia rafiki yangu kua bado ananipenda na anatamani turudiane, hadi naandika ujumbe huu huyo binti toka juzi anapiga sim(sijapokea simu yake hata moja) na kutuma ujumbe akiniomba nimsamehe

Wadau,nimrudie kisha nimtende kama alivyonifanya au nimuache aendelee na maisha yake(sina hisia nae tena na wala simpendi,,namchukia sana,natamani kisasi juu yake),ebu nishaurini wandugu.

Kama ni bora uachane nae no need kujilazimisha kumpenda usiempenda bwana
 
Tanguliza hivi: USIKIONEE HURUMA KIUMBE AMBACHO HUJAKIZAA. Mpe somo ili ajifunze somo lenyew ni hili: jifanye umemsamehe mkubalie kabisa nenda kajitambulishe kwao baada ya hapo mwambie kuhusu kufunga ndoa mpe kaz ya kuchapisha na kuusambaza kadi kwa ndg jamaa na marafiki zake akisha gawa kadi kwa watu wake ndio ujiandae sasa kumpiga chini tena hadharan: yaan hakukuonea hata huruma kipindi unamatatizo huyo ni kumpa aibu ya mwaka
si wakati wote kisasi huponyesha maumivu,mwambie kwa upole kuwa nafasi yake haipo tena,hivyo aendelee na maisha yake,roho yako itabaki na amani na utakuwa umeonyesha ukomavu na zaidi utabarikiwa
 
Ilikua jumatatu, tarehe 10 mwezi wa 6 mwaka 2013,niko kwenye msiba wa kaka angu(RIP BRO).. Ilikua kama sa 2 hivi usiku niko kwenye kikao tukijadili na kupanga taratibu za mazishi,kuhifadhi mpendwa wetu.

Nikiwa kikaoni nikasikia mtetemo kwenye sim yangu ikiashiria ujumbe mfupi umeingia,sikua na haraka ya kuusoma,nikijua baada ya kikao ntausoma,ndio ntakua na muda mzuri wa kusoma ujumbe huo,hata hivyo mimi ndie nilikua katibu wa kikao,nikakipa kikao uzito zaidi.

Ilipofika sa 4 kama na nusu hivi kikao kimeisha, nikasikia mlio wa sim,ilikua ni sim yangu ikiita,nikaitoa mfukoni kuipokea,kusoma jina ni la kipenzi cha moyo wangu,nikatabasam kwa mbali nikijua mpenzi wangu kanipigia kujua naendeleaje,ile napokea tu sim ikakata.

Nikajua mamaa kaishiwa pesa,nikaenda hewani,simu ikaita kidogo kisha nikasikia"simu ya mteja uliepiga inatumika" ikiashiria sim imekatwa,nikakata sim,mara kidogo nikapokea ujumbe kutoka mpenzi wangu

"nilitaka kujua kama meseji umeipata,sitaki mapenzi na wewe,futa namba yangu" nikashtuka kidogo,nikajua ni utani,kisha nikataka kujua ni ujumbe gani huo

Nikaenda inbox nikakuta ujumbe uliokua umetumwa haujasomwa ni wake akinijulisha mimi na yeye basi. Nikampigia sim hapokei,nikatuma ujumbe hakujibu. Msiba wa ndugu yangu ukawa mchungu zaidi

Siku zikaenda hivyo nikiwa siamini kilichotokea,bila ugomvi,bila sababu ya msingi nikawa nimeachwa. Nikatumia kila mbinu kumbembeleza na kumshawishi,kupitia kwa ndugu zake,marafiki zangu na ndugu zangu akagoma.

Ratiba zetu ilikua mwezi wa kumi mwaka jana nikajitambulishe rasmi,mwezi wa pili mwaka huu tufunge ndoa . Mipango hiyo ikawa imekufa. Niliyumba sana baada ya hilo tukio,nimejikaza nikasimama kiume ila kwa maumivu makali sana.

Kituko cha mwaka ni kua binti huyo kamwambia rafiki yangu kua bado ananipenda na anatamani turudiane, hadi naandika ujumbe huu huyo binti toka juzi anapiga sim(sijapokea simu yake hata moja) na kutuma ujumbe akiniomba nimsamehe
Usilipe ubaya kwa ubaya ndugu,mweleze ukweli kua huna mpango nae tna..asepe
 
kama aliweza kukutenda hayo ukiwa katika majonzi ya kufiwa na kaka yako, tegemea kubwa zaidi atakalo kutenda na hana future na wewe ila kuna kitu hajamalizia kwako
 
Duh!kwa hiyo anataka kurudi akimalize ndio atimke,hiyo ni hatari sana.
 
Kiufupi huyo binti baada ya kumegwamegwa hovyo huko aliko kuwa akaona kumbe kapotea njia sasa anajirudi tena kwako. Sasa ukirudiana nae kuna jambo moja litakukuta, au utaambiwa una kibamia ama hujui kugegeda, si keshaonja huko nje japo kumemshinda? Mabinti wengi hawatulii kwenye mahusiano mpaka kwanza dunia iwafunze, na akitulia ujue kamegwa mijamaa ya kila aina.
 
haya mambo ndo maana mi huwa siyapi percent kuubwa kiasi hicho.. kaka pole sana kwa matatizo...

mimi kuna mbebez mmoja tulizinguana hivyo hivyo majuzi tu hapa kama february hivi, basi katuma sms kanambia excel kuanzia leo mimi na wewe basi,... nikamuuliza are you serious? akasema for sure sikutaki, kisa tu tumekorofishana kwa jambo dogo tu..

ok, mi nikamwambia sawa, nikaendelea na mambo yangu, lakini namba yake sikuifuta, ikabaki tu kwenye phone memory,
sasa nimeshangaa mwishoni mwa mwezi wa tatu, nimepokea text yake.. baby I miss you!.. surely nikatabasam tu ila sikujibu text on time....

katuma tena nyingine, baby are you there?... basi na mimi nikaijibu baada ya masaa ma3 hiviiii!!

mwisho wa siku kajirudi, kaomba msamaha, ila sikumuacha bure!! nilimtukana sana tu japo si matusi ya nguoni.. nilimuonya sana kuhusu vitabia vya kutingisha kiberiti na kuleta swaga za kutishiana kumwagana...

actually mi sijawahi kupewa presha na mapenzi mapenzi haya, kupenda najua, ila ukizingua, nikakubembeleza mara moja ukagoma, mara ya pili nako ukatia ngumu, basi na mimi nakumwaga kama pishi tu la ubwabwa wa juzi....

mkuu, kwa jinsi ulivyosema huna love nae, no way..... take the other way! mwambie ushapata mashine gun nyingine..

mwambie kabisa kwamba wa sasa ana application nyingi kuliko yeye...

Kwa hiyo mkuu wewe ulimrejesha zizini?
 
Kiufupi huyo binti baada ya kumegwamegwa hovyo huko aliko kuwa akaona kumbe kapotea njia sasa anajirudi tena kwako. Sasa ukirudiana nae kuna jambo moja litakukuta, au utaambiwa una kibamia ama hujui kugegeda, si keshaonja huko nje japo kumemshinda? Mabinti wengi hawatulii kwenye mahusiano mpaka kwanza dunia iwafunze, na akitulia ujue kamegwa mijamaa ya kila aina.

sure! Nafasi kwangu hana ila nawaza nimfanyeje,nilipe kisasi kama alivyoshauri Mgirik au nimuache tu.
 
Unapaswa jiuliza wewe kipi moyo wako Unataka...revenge huwa zinakurudia wewe kwa maumivu...kama huna hisia nae bora umuite umwambie .muachane in peace
 
Ndio maana nimeomba ushauri hapa mkuu,mawazo yenu yatanisaidia kufanya maamuzi.
 
Ilikua jumatatu, tarehe 10 mwezi wa 6 mwaka 2013,niko kwenye msiba wa kaka angu(RIP BRO).. Ilikua kama sa 2 hivi usiku niko kwenye kikao tukijadili na kupanga taratibu za mazishi,kuhifadhi mpendwa wetu.

Nikiwa kikaoni nikasikia mtetemo kwenye sim yangu ikiashiria ujumbe mfupi umeingia,sikua na haraka ya kuusoma,nikijua baada ya kikao ntausoma,ndio ntakua na muda mzuri wa kusoma ujumbe huo,hata hivyo mimi ndie nilikua katibu wa kikao,nikakipa kikao uzito zaidi.

Ilipofika sa 4 kama na nusu hivi kikao kimeisha, nikasikia mlio wa sim,ilikua ni sim yangu ikiita,nikaitoa mfukoni kuipokea,kusoma jina ni la kipenzi cha moyo wangu,nikatabasam kwa mbali nikijua mpenzi wangu kanipigia kujua naendeleaje,ile napokea tu sim ikakata.

Nikajua mamaa kaishiwa pesa,nikaenda hewani,simu ikaita kidogo kisha nikasikia"simu ya mteja uliepiga inatumika" ikiashiria sim imekatwa,nikakata sim,mara kidogo nikapokea ujumbe kutoka mpenzi wangu

"nilitaka kujua kama meseji umeipata,sitaki mapenzi na wewe,futa namba yangu" nikashtuka kidogo,nikajua ni utani,kisha nikataka kujua ni ujumbe gani huo

Nikaenda inbox nikakuta ujumbe uliokua umetumwa haujasomwa ni wake akinijulisha mimi na yeye basi. Nikampigia sim hapokei,nikatuma ujumbe hakujibu. Msiba wa ndugu yangu ukawa mchungu zaidi

Siku zikaenda hivyo nikiwa siamini kilichotokea,bila ugomvi,bila sababu ya msingi nikawa nimeachwa. Nikatumia kila mbinu kumbembeleza na kumshawishi,kupitia kwa ndugu zake,marafiki zangu na ndugu zangu akagoma.

Ratiba zetu ilikua mwezi wa kumi mwaka jana nikajitambulishe rasmi,mwezi wa pili mwaka huu tufunge ndoa . Mipango hiyo ikawa imekufa. Niliyumba sana baada ya hilo tukio,nimejikaza nikasimama kiume ila kwa maumivu makali sana.

Kituko cha mwaka ni kua binti huyo kamwambia rafiki yangu kua bado ananipenda na anatamani turudiane, hadi naandika ujumbe huu huyo binti toka juzi anapiga sim(sijapokea simu yake hata moja) na kutuma ujumbe akiniomba nimsamehe

Wadau,nimrudie kisha nimtende kama alivyonifanya au nimuache aendelee na maisha yake(sina hisia nae tena na wala simpendi,,namchukia sana,natamani kisasi juu yake),ebu nishaurini wandugu.

Vp ulishajua sababu ya yy kukuacha?
 
achana naye huyo.. she is not worth it.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom