Natamani sasa kuolewa

Natamani sasa kuolewa

Mie mkristo pure tena nmelelewa katk din kabsa mwenzang muslim hapo ndo kikwazo

Kama 'kikwazo' kipo ndani ya roho zenu nyote basi na mkubali yaishe......manake siku zitakuwa zinasonga tuuu bila muafaka.
 
hili jukwaa limevamiwa na wafanyabiashara ya miili..... Umemchuna mzee wa watu hujatosheka sasa subir 0713 au mtungo

ukiijua kweli itakuweka huru,na utakuwa huru tena huru kweli kweli
 
Kubadili dini siyo tatizo kwangu coz naamini Mungu ni mmoja,,tatizo ni baba yangu ambaye ni mzee wa kanisa??atanikataa kabisa

Usijipe moyo mama et kua MUNGU ni mmoja ndo sbb ya kubadili dini na YESU je nae vipi, kuna tofauti kubwa sana kati ya hizi dini 2 unless useme hata huo ukristo huujui vizuri
 
Kama 'kikwazo' kipo ndani ya roho zenu nyote basi na mkubali yaishe......manake siku zitakuwa zinasonga tuuu bila muafaka.

Ni maamuzi magumu sana ndiyo mana nikasema MUNGU asimame coz peke yetu hatuwezi
 
Mwambie abadili dini mfunge ndoa yenu! Au wewe ubadili umfuate yeye!
Ikishindikana basi achaneni tafuta wa dini yako
 
Maamuz ya mwisho n yako lkn kumbuka mapenz yanaishia hapahapa dunian sister huyo jamaa hatakutetea mbingun...na unaweza ukabidili dini kwa sababu ya mtu na bado akakutosa mbelen,hebu tafakari sana kabla hujamkana YESU afu mek sure unaijua vizur iman yako.
 
Mwambie abadili dini mfunge ndoa yenu! Au wewe ubadili umfuate yeye!
Ikishindikana basi achaneni tafuta wa dini yako

Hawezi kubadili dini ila anasema tukafunge ndoa kwa mkuu wa mkoa tatizo sasa ni jinsi ntakavyompeleka nyumbani rasmi watampokeaje watasemaje,watanichukuliaje!
 
Maamuz ya mwisho n yako lkn kumbuka mapenz yanaishia hapahapa dunian sister huyo jamaa hatakutetea mbingun...na unaweza ukabidili dini kwa sababu ya mtu na bado akakutosa mbelen,hebu tafakari sana kabla hujamkana YESU afu mek sure unaijua vizur iman yako.

Nawaza mengi apa,,mara naolewa mwaka mmoja anataka aoe mwngne din yake yaruhusu dini yangu nimeikana ntakuwa mgeni wa nani??
 
Natamani kuolewa sasa jamani,,
Niishi na mume wangu,asubuhi aniamshe twende kazini jion niwahi nyumban nimpikie akija nimfungulie mlango natamani natamani sijui itakuwa tarehe ngapi kikwazo ni dini zetu MUNGU simama sasa !!aaaaaaggg

mkienda kufunga bomani/serikalini itakuwaje?
 
Hawezi kubadili dini ila anasema tukafunge ndoa kwa mkuu wa mkoa tatizo sasa ni jinsi ntakavyompeleka nyumbani rasmi watampokeaje watasemaje,watanichukuliaje!

anza kuongea na mama kwani wakina mama ndo rafiki zetu,kama mkali muingie kwa utani "hivi mama ikitokea nkapata mchumba muislam mtakubali kuolewa nae?"jibu atakalokupa kama ndio anaweza kukusaidia kwa baba kumwelewesha,lakin nae akikataa ujue baba ndo zaidi so hapo utafute ustaarabu mwngine cos nyumban "big no".
 
Kubadili dini siyo tatizo kwangu coz naamini Mungu ni mmoja,,tatizo ni baba yangu ambaye ni mzee wa kanisa??atanikataa kabisa

Unataka kubadili dini uwe muislamu??? Fikiria tena huo uamuzi! Usijidanganye kuna Mungu mmoja! Allah sio Mungu wa wakristo, utakuja kujuta binti!
 
Mie mkristo pure tena nmelelewa katk din kabsa mwenzang muslim hapo ndo kikwazo
Mwambie abadili aje kwa Jesus Chris kama hataki tupa kule!! USIJEJIDANGANYA KUBADILI DINI KISA MAPENZI!UTALIA BIBIE
 
Kubadili dini siyo tatizo kwangu coz naamini Mungu ni mmoja,,tatizo ni baba yangu ambaye ni mzee wa kanisa??atanikataa kabisa

naskitika kuona kuwa bado hujatambua thamani ya unachoamini mpaka unasema wazi kuwa ww uko tayar ila maamuzi yako umeshikiwa na baba ako.Umeshawahi kujihoji kwann baba ako anakukataza?unafikiri kati ya wewe na baba ako nani ana busara zaidi?kaa nae chini hope mtaelewana tu ila ni mwiko kudanya kinyume na mzazi itakucost tu
 
Back
Top Bottom