Recent content by STRONG GIRL

  1. S

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    tatu ni serikali tatu tunataka , haya ndiyo maoni yetu sisi wananchi
  2. S

    Maiti za ajali ya meli zanzibar zinaelea majini meli hazina mafuta kwa ajili ya kuzifuata

    JAMANI serikali yetu kweli hamnazo, mpaka sasa naandika kwenye ukurasa huu maiti za ajali ya meli Zanzibar bado zinaelea majini, kwa mujibu wa waokoaji wanaitupia lawama serikali kwa kushidwa kutoa mafuta kwa ajili ya meli na boti zilizojitolea kwa ajili ya uopoaji wa maiti. Taarifa fupi ya...
  3. S

    Mbowe, mashambulizi dhidi ya Mwigulu Nchemba kwa memo hii kulikoni?

    JAMANI, HIVI NIKIGHUSHI KITAMBULISHO CHA SHULE, KAZI KWA JINA FEKI NA PICHA FEKI ZA KWENYE MTANDAO KISHA NIKAMPA MTU ANISAJILIE LINE MPYA kisha nijitumie sms kwenye line yangu ya zamani HAIWEZEKANI?, huyu jamaa kafanya hako kamchezo teheteheee sisi wanjanja tumemgundua aibuuuuuuuuuuu CCM...
  4. S

    Wapiga kura wa jimbo la Kongwa tumwache ndugu Job Ndugai akalime 2015

    mimibaba unaujua hoja ya mleta hoja ni nzuri but alichokosea ni kuingiza masuala ya mgombea wa CHADEMA kuoa kogwa kama moja ya kigezo wanachoona kinafaa wananchi wamchague huyo waliyempendekeza hii ni hatari kesho tutaambiwa UCHAGUE MBUNGE WA KABILA LAKO, haya ndiyo Mwal NYRERERE aliyakataa...
  5. S

    Wapiga kura wa jimbo la Kongwa tumwache ndugu Job Ndugai akalime 2015

    Mpo sawa lakini napinga wazo lenu la kuwa huyo mgombea wenu mnayetaka achukue ubunge 2015 kupitia CHADEMA eti kaoa kogwa, hayo ni mawazo finyu tena yasiyofaa kuchukuliwa kama kigezo cha kuchagua kiongozi msafi na bora. Huu ni ubaguzi unaopaswa kupigwa kwa nguvu zote, mwanamke mstarabu na makini...
  6. S

    mhhh! BAADA YA CUF ,SASA CHADEMA

    Zito Kabwe Halima Mdee mwingine aongeze...
  7. S

    Mapadre/mashehe/wachungaji: Mmemsikia Lusekelo?

    Huyo mpuuzi mnafiki anadhalilisha dini yetu ya kikirstu tumkee meee huyooo kwa jina la yesu roho ya unafiki imtokeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  8. S

    HII ndo maana ya demokrasia Tanzania?

    kIUKWELI NIMEMSIKILIZA SANA MBOWE, HAKUKUBALI KUTOKA MOYONI , ALIJUA HATA WAPINZANI WAKIKATA CCM WATAIPITISHA KWA KURA YA NDIYO , HIVYO ALIJUA HARAKATI ZAO ZISINGEFIKA MBALI, NDIO MANA AKAKUBALI TENA KWA SHINGO UPANDE HUKU AKIWAONYA CCM KUTHAMINI KATIBA KULIKO VYAMA VYA SIASA
  9. S

    Food for thought

    Kama ungeibadilisha kwa kiswahili ungepata wachangiaji zaidi, ni ushauli tu
  10. S

    Wanaharakati waliokamatwa waachiwa

    Wewe kakalende naona hauko makini kufuatilia taarifa, takribani wiki tatu wanaharakati wamefanya kazi kubwa sana kwa kuongea na madaktari, serikali na kutoa matamko mbalimbali kuishinikiza serikali kuwasikiliza madaktari na kuwapa wanachokitaka, juzi wameandamana na kuipa serikali masaa kadhaa...
  11. S

    Lusekelo: Kawafananisha ma-dr. Wa tanzania na wauaji wa albino!!

    ]kama lusekero ana uchungu na maisha ya watanzania wanaokosa huduma ya afya pale muhimbili basi auze mali zake zote yakiwemo magari ya kifahari, nyumba na mashamba yake kisha awape wagojwa hizo hela wakatibiwe private kwanza ni zambi kumwambia mwenzako muuaji je yeye ni msafi kiasi gani?
  12. S

    Ungependa yupi awe mgombea wako katika kinyanganyiro cha mwaka 2015?

    Mimi nashauli angeweka na nafasi ya mgombea binafsi kisha Deus Kibamba mwenyekiti wa jukwaa la katiba agombee
  13. S

    Mbona hili John Tendwa halizungumzii

    hapo umeronga, na isiwe kwa wagojwa tu, uwekwe mfumo ambao pia utasaidia kuondoa gharama za uchaguzi hata kama mtu kafa kwa ajali
Back
Top Bottom