Recent content by strong gal

  1. strong gal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jina gani unapenda kumwita mpenzi wako?

    Tumeamua tu
  2. strong gal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu hataki nimfanyie suprise

    Kwanini ufanye surprise Labda hana mboga.hajapiga deki hajaosha vyombo na ubusy wa wiki. Au alikua na ratiba zake ukija mgeni lazima hizo ratiba zivuruguke. Na kwanini unatembea njia nzima bila kumwambia mwenzio labda anataka kukufanyia maombi ukiwa njia si unajua kuna ajari nyingi njiani...
  3. strong gal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story: Bad wives

  4. strong gal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umejenga nyumba yako kwa muda mrefu kwanini uibomoe kwa muda mfupi?

    Kweli leo jumapili ...asante kwa NENO mkuu
  5. strong gal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

    Desperate mind! Wish u lucky mkuu Ila kuoa siyo lazma hata mtume petro alisema.
  6. strong gal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Maombi na kufunga
  7. strong gal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tutathimini maamuzi yetu tusije juta baadae

    Ha ha ha ha....kawaida sana hiyo...nyingne imetokea tanki bovu jumapili ilopita..wao walikaa miaka mitatu,kijana anasema bado ana jiandaa. Binti kafanya maamuzi magumu,kijana ana kuja juu kusha KUCHA
  8. strong gal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi anatetemeka baada ya kufanya mapenzi, nini kinasababisha hili?

    Daah mkuu ume dumu nar mda mrefu..fanya umuoe sasa
  9. strong gal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Acha kabisa, hawa wanawake hawa!!

    Waooo mume wangu pole safari...ha ha ha ha..dada ana akili huyo sijawahi waza.ha ha ha bado nacheka
  10. strong gal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisadieni ndoa yangu inavunjika

    Mmmmh ngoja waje wana ndoa wa dini yako
  11. strong gal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ingekuwa wewe ungeweza?

    Kuna clip nili iona kua huko kenya kuna eneo hyo ndo tabia yao,mke kuolewa na mzungu kwa mlengo wa kusaidia familia au mume kua kama john. Binafsi SIWEZI. HIYO NI HOFU tu ya maisha na kujitoa ufahamU.
  12. strong gal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moja ya matukio ya mama mzazi ambalo hutalisahau maishani mwako

    Mungu amlaze mahali pema peponi.Amen
  13. strong gal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawa ya mchepukaji hii hapa

    Ha ha ha ha.Ndo yale yale ya kuvunjiana simu...hakuna dawa hapo
  14. strong gal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilizaa nae mtoto tukaachana, kaolewa kakosa mtoto, eti nimsaidie apate mtoto

    Unakimbilia wapi mkuu.andika taratibu ntakuelewa
  15. strong gal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilizaa nae mtoto tukaachana, kaolewa kakosa mtoto, eti nimsaidie apate mtoto

    Haya mambo ya uzazi yanafanya uwe na imani ambazo nahisi hadi shetani hua anakataa kwa Mungu kua yy hapo hausiki
Back
Top Bottom