Weekend story: Bad wives

Weekend story: Bad wives

lara tupia kitu cha next... nadhani amar akiachiwa atakua ni simba aliechezewa masharubu... hahahaaaa
 
Siweki chochote sio wa kunilaza jana na kiu nyie. Hamna maana yoyote. Saa 2 naenda zangu kutafuta bia.
Tupia account number hapo.. Tukupoteze kidogo
c658db0f93b2aac214c152bb8e5c68ad.jpg
 
lara1 umefanya nikaeendee ka mchepuko kangu ni kapige za fasta maana mtambo ulikuwa tiyari 4g
 
Hii simulizi yako imebase kwenye utoto sana. Hapa umewapata mateeneger na vijana wasiojielewa.
 
Hii simulizi yako imebase kwenye utoto sana. Hapa umewapata mateeneger na vijana wasiojielewa.
Hujaitwa mkuu...we pita kimya kimya utuache tusiojielewa tuendelee na ukuuti uukutiii.......
 
Hujaitwa mkuu...we pita kimya kimya utuache tusiojielewa tuendelee na ukuuti uukutiii.......
Sawa mkuu umesomeka endelea na ukuutii wako. Samahani kwa kuwakwaza.
 
Back
Top Bottom