Mtandao wowote wa kijamii ukishaanza kutumiwa na watu wengi, tegemea kukutana na kila aina ya watu kwenye huo mtandao. Iwe watu wema, wabaya, matapeli, wajinga, wastaarabu n.k
Uzuri mitandao ya kijamii inakupa flexibility ya nani unataka umfollow/ uwe friend nae na nani uamue usiwe...
Education should expose wanafunzi kwa vitu mbalimbali ili wawe well rounded individuals. Rest and extra curricular activities ni very important.
Ila kwa vile shule nyingi zimekalia ufaulu at all costs(for business reasons). Wanaishia kutengeneza cramming machines badala ya well rounded students.
Sijapingana na mtoa mada. Nilikuwa na elaborate kwa huyo niliemquote, kwanini ndugu yake aliesoma katika moja ya vyuo vinavyosifika kwa MD Tz alipata shida kuruhusiwa kupractice medicine katika a North American country, in this case Canada.
Halafu ukicheki vizuri mtoa mada alikuwa ana-gripe na...
Hiyo ndo advantage ya a liberal arts education.
Elimu ya bongo haiprovide flexibility, its too rigid na hairuhusu mtu kusatisfy their intellectual curiosity. Mtu akichaguliwa course fulani, ndo imetoka hiyo. Atalundikiwa masomo ya hiyo course mpaka basi, hata electives zake haziwi wide ranging...
mtena, As much as tunapenda kujisifia kuwa baadhi ya vyuo vyetu ni moja ya vyuo bora Africa(which is a lie, sema that's not the point of mada hii), vyuo vyote bongo ukiachana kuwa accredited na NACTE, TCU na other local professional boards, hakuna chuo bongo ambacho kina international...
Chimbuko la tatizo hili ni vyuo vyenyewe. Institutions and lecturers wengi bado wako kwenye archaic mentality kwamba kusotesha na kukomoa wanafunzi academically basi ndo ubora wa chuo au course. Mwishowe wanafunzi wengi wanagraduate na gpa ambazo ni za chini. Halafu baadae wakitaka wataalamu...
I don’t want you to be waiting, to be sitting there hoping for me to arrive. No, you are so much more than me, you have a life that is full of meaning and beauty. I don’t want you to leave your canvas blank because you think I’ll be the paint, for you are the paint to your own canvas, you are...
Funny thing about women; if someone they don't like, does something, it's creepy and strange. Wakati another man, might do the same thing and they'd considered it cute and sweet. What matters ni level of interest tu.
Huyo mashkaji hakukuvutia tu, lasivyo usingereact hivyo(if the whole story is...
Women are human too. They're not some strange alien species who operate on a different set of emotions compared to guys. So don't complicate things.
So, kama wanaume wanavokuwa wanatamani, na kwa wanawake pia iko hivo hivo. Some of them just hide it better.
A mismatch of expectations vs reality.
If you meet someone and ukamuwekea expectations fulani; either because of the way they look, au how you initially interacted, or because you let your mind run wild with daydreams, then you get to really know them and find out they're not what you expected...
“You only live once, but if you do it right, once is enough.”
― Mae West
“To live is the rarest thing in the world. Most people exist, that is all.”
― Oscar Wilde
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.