Maisha ni mafupi sana!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,654
Zamani ili watu wapitishe wazo lilitakiwa lijadiliwe wakati hawajalewa na wakati wamelewa..
Nipo zangu hapa MICASA Club Ubungo..nimepata bapa yangu kubwa.. Inshort nipo super..yaani.. najua wakubwa mnaelewa..

Nawaza kuhusu umri wa maisha ya mwanadamu kwa hapa kwetu Tanzania.. Nagundua ni miaka 54..

Nashtuka sana.. Hasa pale nilipogundua karibia miaka 17 ya hiyo miaka 54 ambayo ni sawa na asilimia 31 tumetumia katika shule wengi wetu..

Kisha utasikia kuna watu wanasema maisha ni marefu.. Hii ni hatari.. Actually maisha ni mafupi..sana..sema matatizo yake yanafanya yaonekana marefu..

Usiishi ukiwa unataraji kuna maisha zaidi ya leo.. Kikubwa ishi leo yako vizuri..maana kesho hatuna uhakika nayo..

Live your life to the fullest..

Publius of Syrus aliwahi kusoma LIFE IS SHORT BUT ITS ILL MAKES IT LOOKS LONG..

akili za mlevi!

Divine Khan
 
“You only live once, but if you do it right, once is enough.”
― Mae West

“To live is the rarest thing in the world. Most people exist, that is all.”
― Oscar Wilde
 
Zamani ili watu wapitishe wazo lilitakiwa lijadiliwe wakati hawajalewa na wakati wamelewa..
Nipo zangu hapa MICASA Club Ubungo..nimepata bapa yangu kubwa.. Inshort nipo super..yaani.. najua wakubwa mnaelewa..

Nawaza kuhusu umri wa maisha ya mwanadamu kwa hapa kwetu Tanzania.. Nagundua ni miaka 54..

Nashtuka sana.. Hasa pale nilipogundua karibia miaka 17 ya hiyo miaka 54 ambayo ni sawa na asilimia 31 tumetumia katika shule wengi wetu..

Kisha utasikia kuna watu wanasema maisha ni marefu.. Hii ni hatari.. Actually maisha ni mafupi..sana..sema matatizo yake yanafanya yaonekana marefu..

Usiishi ukiwa unataraji kuna maisha zaidi ya leo.. Kikubwa ishi leo yako vizuri..maana kesho hatuna uhakika nayo..

Live your life to the fullest..

Publius of Syrus aliwahi kusoma LIFE IS SHORT BUT ITS ILL MAKES IT LOOKS LONG..

akili za mlevi!

Divine Khan

andika tena kesho mchana kabla ujazimua ili tujue akili yako ukiwa timamu, hii ni ya Pombe, ushatumia hela kibao unajipa moyo
 
dah kweli maisha ni mafupi.Nimetoka kuona video ya huyo dogo wa miaka 18 baada ya kuambiwa amebakiza miezi 3 mpaka 5,akaamua kumuoa demu wake wa highschool
 
Back
Top Bottom