Mi nimemaliza kila kitu kuanzia uwanja nyasi idad ya watu mpaka wachezaji na jezi... now nina point 10000 cjui hata nazifanyia nin....
Vip hakuna sehemu zngine nizitie wadau ... au kuna game gani ingine classic ya android football ngumu ngumu kidgo
Ukibananishwa utoe ushaidi unapagaaawa........ nyie ndio munaompa taaabu melo kwa kuropoka na kujifanya muna uchungu km wazazi wa hao watu.....
Kuwa na msimamo.... amini kinachoaminika na sio kusikika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.