Kila mdada ana weakness ya kitu chake

Kila mdada ana weakness ya kitu chake

"Weekness" nilipotezea lkn "GS" chuo kikuu!! Hapana kwa kweli nishushe.
 
hii ni kweli,nilisoma na huyu binti na alishakuja kula eat sum more pia kwa rum!
 
Kwahiyo ulikuwa unaona umemla bure au?!

Hizo biskuti hazina gharama?!
Unataka kusema thamani ya uyo mrembo ni biscuits za elf3??!
Kwann hamuaminigi love is priceless rather doesn't cost a thing
 
Unataka kusema thamani ya uyo mrembo ni biscuits za elf3??!
Kwann hamuaminigi love is priceless rather doesn't cost a thing
Kala box ngap?!...kila kitu kina price mambo ya kusema love ni priceless tunadanganya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom