Pole mkuu siku hizi wanawake wamekuwa makambale usiwaamini sana muhimu ni kutowekeza au kulea utaishia kuumia cha msingi tembea kuna maisha zaidi ya hayo mungu atakusimamia
Mkuu katika maisha kila mmoja analofanya ni sahihi jambo la busara wote hawavunji sheria kumchangia mtu ni zaidi ya nafsi na roho ya uhitaji ni hatari sana kumharass mtu kwa jambo ambalo amelifanya halivunji sheria hivi kuna watu wanatoa michango ya harusi huku kuna watoto yatima wamekosa ada...
Hahahaha Dunia kuna mambo anyway kila mtu anavyotafuta hela jasho lake analijua yeye tukikutana viti vitefu bado ni boss haijulishi anakunywa veve au prince
Tatizo hapo sio kuimport duty kipengele kinachosumbua pale kwenye CIF ya tozo ya TRA ukichukua gar ya mwaka 2011 inakuwa bei juu na CIF inakuwa juu utatolewa import duty tax ambayo kimsingi haitofautina na yule anayeagiza gari ya miaka ya nyuma bila exemption
Kaka wanawake hawana shukran narudia tena wanawake hawana shukran hata marehem ruge kuna kibinti kilimuumiza sana ila tafuta pesa achana nao malengo jiwekee wewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.