DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 1,308
- 1,826
Nimekua nikifuatilia huko Dodoma kinachoendelea katika Bunge la bajeti na kugundua Mambo kadhaa hasa katika tasnia ya Utumishi wa Umma.
Kwa majibu waliyotoa Mheshimiwa Mkuchika na Yule Mama Mhagama Ni dhahiri kwamba suala la Maslahi ya Watumishi wa Umma Ni hisani ya serikali na chama kwa ujumla na sio kwa misingi ya sheria na kanuni za utumishi na utawala Bora.
serikali ya awamu ya Tano Tangu imeingia madarakani haijawahi hata kujaribu kuongeza Mishahara ya Watumishi wake isipokua imejificha katika kichaka Cha
1. uhakiki
2.tija
3.OPRASS
4.kukamilika kwa elephant projects
5.uchumi kuwa imara.
Na yote yamehitimishwa na pale Mheshimiwa Ruth alipolitaka Bunge kujadili sintofahamu hi (hoja binafsi) na baadae kuja na mapendekezo lakini wabunge wa ccm Bila aibu wakaikataa hoja hiyo.
wafanyakazi msipoungana mtanyanyasika kwa miaka kumi Mana hata hao wabunge wa ccm hawaoni haja ya nyie kupewa stahili zenu lakini wapo tayari kutumia mafanikio ya kazi zenu kuombea Kura ili wazidi kula mema ya nchi.
Mei Mosi Ni siku ya kuwatonesha kidonda.