cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,362
- 7,684
Habari kutoka bungeni na kudhibitishwa na katibu wa bunge ndugu Kigaigai zinasema mbunge wa Singida Mashariki amesimishiwa mshahara wake
Katibu huyo amedai ofisi ya spika haina taarifa alipo Tundu Lisu
Sent using Jamii Forums mobile app
Katibu huyo amedai ofisi ya spika haina taarifa alipo Tundu Lisu
Sent using Jamii Forums mobile app