Taa hizi kuwaka kwenye Dashboard zinaashiria nini?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
2,392
2,000
ABS inawaka ilitokea tu nlipeleka kwa fundi akarekebishe kwenye miguu kulikuwa kunapiga kelele...kukawa sawa kuchukua gari inawaka Taa ABS. hakunipa maelezo yanayoeleweka. Sitaki tena mrudishia.

Mfumo wa brake tulibadilisha ule mtungi wake na kile kikombe cha kuwekea mafuta ya break. Taa sasa inawaka sometime inazima...but nikicheck fluid ipo ya kutosha nini could be a reason?
 
dyuteromaikota

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
4,659
2,000
ABS inawaka ilitokea tu nlipeleka kwa fundi akarekebishe kwenye miguu kulikuwa kunapiga kelele...kukawa sawa kuchukua gari inawaka Taa ABS. hakunipa maelezo yanayoeleweka. Sitaki tena mrudishia.

Mfumo wa break tulibadilisha ule mtungi wake na kile kikombe cha kuwekea mafuta ya break. Taa sasa inawaka sometime inazima...but nikicheck fluid ipo ya kutosha nini could be a reason?
Hakurudishia vizuri mfumo wa brek. Mrudishie tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kayaman

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
4,148
2,000
Hiyo inaitwa anti lock brake system, inapaswa kuwaka pale unapowasha gari na kuzima baada ya muda mfupi, endapo haizimiki baada ya muda basi mfumo wako wa brake inamatatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
4,500
2,000
Taa ya ABS sio inshu saaaana,,ukijua maana ya ABS utagundua sio big deal kiviiile.Sent from my iPhone using JamiiForums
 
charldzosias

JF-Expert Member
Nov 10, 2013
1,942
2,000
ABS inawaka ilitokea tu nlipeleka kwa fundi akarekebishe kwenye miguu kulikuwa kunapiga kelele...kukawa sawa kuchukua gari inawaka Taa ABS. hakunipa maelezo yanayoeleweka. Sitaki tena mrudishia.

Mfumo wa brake tulibadilisha ule mtungi wake na kile kikombe cha kuwekea mafuta ya break. Taa sasa inawaka sometime inazima...but nikicheck fluid ipo ya kutosha nini could be a reason?
Unajua maana ya ABS?

Abs = anti-lock braking system

So husaidia kuzipa tairi TRACTION ukiwa umekanyaga BREKI..

Ukiona taa ya ABS imewaka katika Dashboard ujue kuna Tatizo katik mfumo mzima wa (anti-lock braking system)

Tafuta fundi arekebishe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
stranger man

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
421
500
Mi nilitembelea gar yangu baada ya kuchukua japan nilipiga tuta mikumi ikawaka hadi nauza bado taa ilikuwa inawaka licha ya kufanya marekebisho
 
chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
7,781
2,000
Taa ya ABS sio inshu saaaana,,ukijua maana ya ABS utagundua sio big deal kiviiile.Sent from my iPhone using JamiiForums
Hebu tafuta gari yenye ABS halafu nenda kama 120, kwenye kona fanya kupiga breki ili mwendo upungue tu. Halafu tafuta ilokuwa haina ABS halafu rudia experiment...... Ndio utajua ABS ina umuhimu gani
 
Boeing 747

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
2,753
2,000
Taa ya ABS sio inshu saaaana,,ukijua maana ya ABS utagundua sio big deal kiviiile.Sent from my iPhone using JamiiForums
Acha kumpotosha mwenzako...waliotengeneza gari si wajinga mpaka wakaweka....
utakapokanyaga brake za gafla kwenye lami iliyolowa maji ya mvua ndiyo utajua ABS ni ishu sana au si ishu saana....
ABS inasaidia gari lisiserereke pale unapopiga brake za ghafla hivyo inaongeza usalama wa brake zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
4,500
2,000
Acha kumpotosha mwenzako...waliotengeneza gari si wajinga mpaka wakaweka....
utakapokanyaga brake za gafla kwenye lami iliyolowa maji ya mvua ndiyo utajua ABS ni ishu sana au si ishu saana....
ABS inasaidia gari lisiserereke pale unapopiga brake za ghafla hivyo inaongeza usalama wa brake zako

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama wewe unajua kuliko Scotty kilmer sawa,endelea kuhangaika na ABS kwny ki nissan note.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Boeing 747

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
2,753
2,000
Kama wewe unajua kuliko Scotty kilmer sawa,endelea kuhangaika na ABS kwny ki nissan note.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyo Scotty Kilmer ndiyo muundaji wa magari yote unayoyaona yakitembea??
Kumbuka hao waliogundua ABS akili zao hazijajaa KAMASI kama zilivyo akili za wale wanaondoa mifumo ambayo imewekwa na mainjinia wa ukweli..

Unaweza ukaona ABS haina maana kwa mwendo wa kawaida au vitown trip...endesha hilo gari lisilo na ABS 120/kph halafu shika brake za ghafla ndiyo utagundua umuhimu wa ABSSent using Jamii Forums mobile app
 
presider

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
813
1,000
ABS ni Ant lock Braking System au CAB (Controller Anti-lock Brake). Hii kumbuka imeunganishwa na electronic control unit(ECU) pamoja na Hydraulic valve kwenye mfumo wa Brake . (ECU) ndio ina control Hydraulic Pressure kwenye Brake system. Mfano ikitokea Tairi mmoja ya Gari speed ikawa ni ndogo yenyewe ina punguza Pressure kwenye hlo tairi hili matair yote yawe na Mwendo sawa. Hii ina umuhimu sana kwenye Mfumo mzima wa Brake. Hii ina saidia Break ziachie/Zisinganganie tyres wakat umeachia Brake pedal. Kama hyo taa inawaka kujua kuna kipind utafika ukiapply Brake. Brake shoes zitangangania Tairi au utakua unaua sana Brake shoes.
 
Mr Miller

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
11,195

brake shoes ndio zile zinazoshika brake plate au zipoje hizo shoes chief?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom