Mnaokunywa Serengeti lite a.k.a juice ya miwa njooni hapa

wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,085
1,050
Unakuta baba jitu zima limekaa bar..mezani limetandaza juice ya miwa(Serengeti lite).

Bia yenyewe inauzwa 1500..jamani..kunyweni Heineken.. Windhoek.. Acheni kujaza tumbo na mi juice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha Dunia kuna mambo anyway kila mtu anavyotafuta hela jasho lake analijua yeye tukikutana viti vitefu bado ni boss haijulishi anakunywa veve au prince
 
mimi nikienda bar naweka pepsi 5 mezani then nakunywa moja nasepa. kila mtu na preference zake msiforce tufanane eboooo
 
mimi hata ninywe kereti 4,silewi sijui ni blood content yangu.mambo mengine ni kufirisiana na kupotezeana muda wa kufika kileleni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom