Recent content by Stoneboy

  1. Stoneboy

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wazuri na warembo penzi lao huangukia kwa watu wa shoka?

    Sio kweli utafiti wako haukukamilika kumiliki pisi kali ni maamzi ya mtu , ukiona pisi kali inatoka na mdwanzi ililinga sana imekuja kusanuka dakika za tisini inakua haina cha kupoteza tena
  2. Stoneboy

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu na usanii kama wa baba yao CCM

    Kwahiyo sisi sote ni wafanya biashara
  3. Stoneboy

    JamiiForums Rwanda, JamiiForums Tanzania Visi Perezida wa Tanzania Emmanuel Nchimbi yeguye

    Mhhh sijaelewa mie
  4. Stoneboy

    JamiiForums Tanzania Je, vijeba hawa watafurukuta Kombe la dunia? Ronaldo miaka 41 na Messi miaka 39!

    Wameangaliwa wasifu wao na mchango wao kwenye timu , hata wasipo cheza uwepo wao unaamsha amsha kwa mashabiki na wachezaji
  5. Stoneboy

    JamiiForums Tanzania Jeneza lazikwa Tupu Mwili wasaulika ndani

    Duh
  6. Stoneboy

    JamiiForums Tanzania Walokole kweli hii mistari huwa mnaisoma....au kudonoa donoa bibilia

    Uombe kwa sauti ama kimya kimya yote sawa , ila kuna maombi ya kukemea lazima utoe sauti
  7. Stoneboy

    JamiiForums Tanzania Kula utumbo kama ni kitu imenishinda

    Hujapata muandaaji mzuri tu
  8. Stoneboy

    JamiiForums Tanzania UZURI MBINGUNI HAKUNA MPIRA NA MPIRA NI DHAMBI

    Amina 🙏 🙏 🙏
  9. Stoneboy

    JamiiForums Tanzania "Makomandoo" watwangana makonde na Walinzi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kabla ya TRA Vs Simba, Aprili 9, 2026

    Itakua kamati za ufundi zilioteana gape
  10. Stoneboy

    JamiiForums Tanzania Soon Iko suprise itayomaliza huu ujinga unaondelea

    Mpaka ushasema hapa ushatia ndimu mpango tayari ungeleta uzi mshawini hata nusu mchoro, yani unaleta ramani nzima harafu bado ni mpango. Mkuu
  11. Stoneboy

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mahitaji ya nyakati, harakati za Gen Z vimewafubaza wasanii

    Nashukuru Mungu nina mwaka sasa bila simba, yani hata game siangalii nina muda sana kiukweli mpira nao ulizima mambo mengi muhimu, uchawa uchawa mwingi serikali imejifichia huko.
  12. Stoneboy

    JamiiForums Tanzania Wanawake na wanaume wazoefu tujuzane

    Ina miezi mingapi mkuu, pia watalamu wanasema mimba huja na hali tofauti kwa wanawake wengine kuugua moja kwa moja hakupumzishi mpaka ajifungue, hivyo kwa lugha rahisi mvumilie nawewe ndiye tiba yake ukikwazika akajitambua we ni kero kwake utamhatalisha afya yake na mtoto.
  13. Stoneboy

    JamiiForums Tanzania Wanawake na wanaume wazoefu tujuzane

    Hao wanabembelezwa na mswaki ukitoa povu zito jeupe mdomoni mwake zito atapona kulia lia, maana akitaka kulia tena atahofu kupiga mswaki tena
Back
Top Bottom