Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Tatizo muda haupo....ye aendelee tu na afya yake hivyo hivyo kwa namna ambavyo Mungu anaonaFatilieni kuhusu Afya ya Mombo
Tatizo muda haupo....ye aendelee tu na afya yake hivyo hivyo kwa namna ambavyo Mungu anaonaFatilieni kuhusu Afya ya Mombo
We jamaa una chembe chembe za uchawamsalaba mwekundu
Kila kona ni moto....Awamu hii kila mtu anapambana ki vyake, kila kona panachemka
Fatilieni kuhusu Afya ya Mombo
Unawaka haswaKila kona ni moto....
nitarudi baada ya mwaka na nusu kutizama unayosema ni kweli
Mpaka ushasema hapa ushatia ndimu mpango tayari
ungeleta uzi mshawini hata nusu mchoro, yani unaleta ramani nzima harafu bado ni mpango.
Mkuu
Subiri breaking news majibu yapoRed cross ni wakina nani?
Hizi tabiri zimeshakinaisha.
Letu moja tu kwa sasa
#D9 basi.