Wanawake na wanaume wazoefu tujuzane

Wanawake na wanaume wazoefu tujuzane

Kesho nitalifanyia kazi
Take care bro, be bold. Usikubali kufuata njia zake yeye ndo anatakiwa afuate njia zako tatizo ni kuwa wanawake wanaamua zaidi kwa hisia kuliko akili na wanaume wanaamua zaidi kwa akili kuliko hisia kwahiyo hapo automatic utaona nani anatakiwa ashike usukani otherwise you will breath DUST!!!
 
Haitotokea ni sababu ya mimba tu
 
Labda maana usipo pokea simu nikipiga akipokea naanza na samahana pleas nyingi mm nafanya ivyo sitak aangue kilio matokeo yake ana lia mnaanza kubembelezana mpaka kuna mda aongei nashikwa na hasira natamani kumpasua pasua najuta mimi
Oya jichunguze au mwambie huyo binti anakuchezea akili shtuka.. mwenye mimba halilii ovyoovyo
 
Hao wanabembelezwa na mswaki ukitoa povu zito jeupe mdomoni mwake zito atapona kulia lia, maana akitaka kulia tena atahofu kupiga mswaki tena
 
Mimi pia nime shangaa kitu kidogo kaangua kilio mpaka napata ulakini
 
Kwani ana gusika sasaiv ana sema DR kamwambia apumzike sana
 
Mimi nimekaa na wanawake wenye mimba mpaka wanaenda kujifungua wakiambatana na shangazi zao.. mwanamke mwenye mimba halii ovyo huyo anakuchezea picha la kihindi shtuka.. ukimchekecha unaambiwa mimba sio yako shtuka
 
Leo nimekwazika mpaka nime mpuuzia na nime apa sito mtafuta tena na hivi tupo nkoa kwa mkoa
 
Kwani ana gusika sasaiv ana sema DR kamwambia apumzike sana
Ina miezi mingapi mkuu, pia watalamu wanasema mimba huja na hali tofauti kwa wanawake wengine kuugua moja kwa moja hakupumzishi mpaka ajifungue, hivyo kwa lugha rahisi mvumilie nawewe ndiye tiba yake ukikwazika akajitambua we ni kero kwake utamhatalisha afya yake na mtoto.
 
Back
Top Bottom