Recent content by Sting007

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu huyu mwanamke

    Mwanamke hata kama umeoa, bado atatongozwa tu.
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sema ukweli tu hivi usha - sex na wanaume/ wanawake wangapi

    Nakaribia kujaza Zongtong ya pili..
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Kompyuta yangu ni HP Probook 450 G3 na processor yake ni core i7-6500U hii itakuwa katika kundi lipi.?
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kupenda tena

    Usijali... utampata umpendae, uutulize moyo wako.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wavivu ni wengi dunia hii

    du, hata mimi nipo kati ya hao. Ni hatari....
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Admin naomba mniadd kweny grp la FTA kwa namba 0767674646
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali, Nlipata tatizo la kisonono tangu mwaka jana

    pole sana ndugu, ona umuhimu wa kwenda hospitali nzuri, kwa ugonjwa huo, usione gharama kama ni tatizo, jali afya yako.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Utapeli unataka kufanyika kwa dada yangu huyu

    anayetanguliza hela kabla ya kazi kufanyika, huyo anawezekana asiwe mwaminifu. Kunauwezekano mkubwa, dada yako anaenda kutapeliwa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ndani ya siku 20 tu, Mabasi 34 ya DART, yashapata ajali

    wasipoweka taratibu za ziada yatakwisha yote...
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa ndo ninaposhindwa kumuelewa mwanamke

    Wanaishi kwa hisia finyu..... Ndo maana wanadaganyika haraka.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ahmed Shabiby, Vedasto Mathayo matatani kwa uchakachuaji wa mafuta

    sijawahi kuona Shabiby anajaza mafuta mabasi yake katika kituo kile cha Makole, yawezekana ikawa kweli.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali ; Rav 4 vs Pajero io vs Suzuki Escudo v6 vs Suzuki Escudo Vitara .

    rav4 iko poa, ila huwa inatengeneza tege tairi za nyuma.
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    ni ADD please kwa group la FTA 0767674646
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na mapenzi yao kwa wagizaji tamthilia

    huyo mke ni tatizo kwa kweli....
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nawaza tu.....!

    ni kweli, pole....
Back
Top Bottom