Msaada wa haraka: Utapeli unataka kufanyika kwa dada yangu huyu

Mr Alola

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
473
675
Wasaalam wakuu,?

Nina dada yangu ambaye ni married na pia amemaliza batchelor yake ya procurement chuo kimoja hapa bongo 3 years ago, pasipo kupata kazi. Amefanya attemp nyingi na hadi muda mwingine kuitwa sana kwenye interview lakini wapi hamna kitu.

Miezi miwili au mitatu NMB walitangaza nafasi za kazi na akajitokeza jamaa ambaye alijitambulisha kama HR {ni kweli alikuwa akifanya kazi hapo NMB} ambaye alihitaji laki 3 amfanyie mpango mwisho wa siku promise nyingi bila kuitwa.

Sasa juzijuzi kuna dada mmoja ambaye alimpigia simu na kudai alikuwa akiishi nae jirani, akimuomba amtumie vyeti vyake ambavyo vipo certified amtumie kwenye email yake then afanye connection katika shirika flani la wazungu ambao wana project ya mwaka mzima hapa bongo katika mikoa tofauti, pia alimsisitiza sana kuwa wahasibu na watu wa mauzo watapatanafasi nzuri zaidi kwani watakuwa wanalipwa dola 100 kwa siku katika semina.

Nilichojiuliza;
1. Kuna mzungu au kampuni gani ikulipe usd 100 per day kwa usawa huu?

2. Baada ya kutuma vyeti Ameambiwa vyeti vyake vimepita bila pingamizi hivyo ajiandae kwa semina ambayo anahitaji atume laki 1.?

3.Kama kuna mtu hapa JF kashawahi kuisikia hiyo kampuni ya wazungu sth AGAPE? na project yao anifahamishe. Maana wanadai wanaanza semina project mwisho huu wa mwezi IRINGA

4.Mwisho tumemsisitiza sana dada yetu huyu KUWA HAWA WATAKUWA MATAPELI lakini kwa shauku ya kupata ajira akili yake imeshakuwa attacked.

Kwa aliyefanyiwa mchezo huu atoe ushuhuda tumuokoe huyu dada maana atashikwa na magonjwa yasiyo na dawa
OGOPA TAPELI.
Jumapili njema.
 
Atalia muda si mrefu..mshauri asiwe na uchu wa kupata kazi bila kuangalia mazingira..siku hizi matapeli kibao
 
Bro hao jamaa ni matapeli tena wa mwendokasi...halafu huo ni utapeli wa kizamani sana
 
Sure man nimemsisitiza sana sister tatizo akili yake ni kama tayari wameiatack, mbaya nipo naye mbali kidogo.
 
Wasaalam wakuu,?

Nina dada yangu ambaye ni married na pia amemaliza batchelor yake ya procurement chuo kimoja hapa bongo 3 years ago, pasipo kupata kazi. Amefanya attemp nyingi na hadi muda mwingine kuitwa sana kwenye interview lakini wapi hamna kitu.

Miezi miwili au mitatu NMB walitangaza nafasi za kazi na akajitokeza jamaa ambaye alijitambulisha kama HR {ni kweli alikuwa akifanya kazi hapo NMB} ambaye alihitaji laki 3 amfanyie mpango mwisho wa siku promise nyingi bila kuitwa.

Sasa juzijuzi kuna dada mmoja ambaye alimpigia simu na kudai alikuwa akiishi nae jirani, akimuomba amtumie vyeti vyake ambavyo vipo certified amtumie kwenye email yake then afanye connection katika shirika flani la wazungu ambao wana project ya mwaka mzima hapa bongo katika mikoa tofauti, pia alimsisitiza sana kuwa wahasibu na watu wa mauzo watapatanafasi nzuri zaidi kwani watakuwa wanalipwa dola 100 kwa siku katika semina.

Nilichojiuliza;
1. Kuna mzungu au kampuni gani ikulipe usd 100 per day kwa usawa huu?

2. Baada ya kutuma vyeti Ameambiwa vyeti vyake vimepita bila pingamizi hivyo ajiandae kwa semina ambayo anahitaji atume laki 1.?

3.Kama kuna mtu hapa JF kashawahi kuisikia hiyo kampuni ya wazungu sth AGAPE? na project yao anifahamishe. Maana wanadai wanaanza semina project mwisho huu wa mwezi IRINGA

4.Mwisho tumemsisitiza sana dada yetu huyu KUWA HAWA WATAKUWA MATAPELI lakini kwa shauku ya kupata ajira akili yake imeshakuwa attacked.

Kwa aliyefanyiwa mchezo huu atoe ushuhuda tumuokoe huyu dada maana atashikwa na magonjwa yasiyo na dawa
OGOPA TAPELI.
Jumapili njema.
Ivi wakisema vyeti vilivyo certified huwa wanamaanisha nini!?? Nb, when the deal is too good think twice seminar gani bongo watu walipwe usd100 per Day. Tapeli hilo akimbie huyo Dada
 
Mkuu nimemsisitiza sana, japo yeye anasema anamuamini huyo dada na alishawahi kukaa nao mtaa mmoja tabata, lakini bado hasikii nahisi akili yake imekuwa overattacked.

Vyeti kuwa certified ni kwmba vipigwe mhuri wa advocate/lawyer kuthibitisha kwamba ni true copy ya original.
 
Ingia website ya hyo kampuni chukua contact zao then waulize kuhusu hyo project au seminars ata huyo mtu kama anafanya kaz hapo
AGAPE INTERNATIONAL SPIRITUAL CENTER
5700 Buckingham Parkway
Culver City, CA 90230
(310) 348-1250

Agape Reception Hours: (Pacific Time)
Mondays & Tuesdays 8:00 am – 4:30 pm
Wednesdays thru Saturdays 8:00 am – 4:00 pm
Sundays 6:30 am — 3:00 pm

Thank you for visiting us, and for reaching out!

Please understand that we are unable to respond to requests that are already answered in the FAQ page,
so please check there before submitting a request.

If it’s not in the FAQ… perhaps it should be!

Let us know what you need to know:

To contact Agape, please use the form below to send us an email.

Nimeingia nimekuta contact zao hizi, nadhani ipo marekani nimejaribu kusearch contact kama Tz wana branch sijaona kitu, pia kuna nafasi za kazi za kazi lakini hazipo specific zipo hapa bongo au marekani
 
Huyo dada yako elimu haijamsaidia.
huenda nirahisi kiuyasema haya ukiwa na kazi lakini ninaelewa nafasi yake kwa sasa ................azidi kumuomba Mungu tu ikiwa na majaliwa yake siku atapata kazi na huenda bandiko hili linamuongezea heri zaidi.................yapo mashirika yanalipa usd 100 kwa siku kwa semina ila kwa uthibitisho wa wengi humu hao kweli wanaonekana ni matapeli, AGAPE ninawaojua wapo Shy wanafanya masuala ya Ukatili wa Kijinsia
 
Kweli mkuu, lakini huyu sista roho yake haitaki kuamini kwamba atatapeliwa, previously alishatapeliwa kama mara 2., na bado utapeli mwingine huenda alifana siri..
 
...baada ya kutuma vyeti ameambiwa vyeti vyake vimepita bila pingamizi hivyo ajiandae kwa semina ambayo anahitaji atume laki 1...
Hiyo laki 3 ya kwanza imeshaliwa sasa wanataka kupiga laki nyingine. Hakuna kampuni serious itapitisha vyeti vyako "bila pingamizo" bila aina yoyote ya usaili
 
Back
Top Bottom