Ushauri kuhusu huyu mwanamke

Ushauri kuhusu huyu mwanamke

Uzinzi ni dhambi
Kama Ulimuahidi ndoa hesabu laana
kweli mkuu uasherati dhambi.....nlimuahidi ndoa kama tutawezana ktk kipindi hiki lkn tulishindwana basi
 
kweli mkuu uasherati dhambi.....nlimuahidi ndoa kama tutawezana ktk kipindi hiki lkn tulishindwana basi

Mnashindwana baada ya kumtoboa mtoto wa watu Mkuu?

Msiwafanyia hivyo wanawake bhana
 
Habari zenu wanajukwaa hiki kisa ni kweli. hapa kazini alikuja staff mpya msichana mmoja mrembo sana. kiasi siku ya kwanza namuona tu ikaanza spidi ya kumfukuzia mimi na staff wenzangu hapa.

kila mtu alikuwa anarusha ndoano kadili anavyoweza akija huyu anakuja mwingine lakini mimi ndio nikashinda mbio hizo nikamchukua mrembo huyo. kiasi haikuwa siri tena wote wakafahamu Pearce ndio mshindi

Kweli baada ya kukaa nae muda huyu mdada na yeye akaanza nipenda kwa dhati.

Alikuja ntembelea napoishi hatukupanga tufanye mapenzi lakini tukajikuta nimefanya nae na sa hv kiasi kwamba juzi alikuja kulala kwangu kabisa

Sema baada ya kukaa karibu nae sana nmekuta ana mapungufu mengi ambayo mimi siwezi kuyavumilia kama ikitokea tutaoana na mengi ni yametokana na urembo wake kiasi kila siku lazima wanaume warushe ndoano zao

Majuzi nmeongea nae kuhusu ilo akaniambia nimbadilishie namba ya simu ili haepukane na usumbufu wa watu.

Sababu kaashaamini mimi ndie nitakaemuoa

Nataka kumuacha kusema kweli lakini sijui naanzia wapi wakuu naombeni ushauri
Ulipenda mkalio tu.


Pole
 
Hakika wanawake tuna huruma sanaaaaa.
 
Kwanza naona kama ana utoto mwingi hana akili ya maisha kabisa ni mwanamke ambae mipango yake mingi anajali sana kuvaa kuliko maendeleo

Na kashawahi niambia ana wanaume wengi ila nahisi mimi kaniona wa kumuoa hivyo ataachana na hao wengine

Yaan hivyo kila kitu ntakachomuambia yeye ni ndio tu hana changamoto kabisa

Sasa kashakwambia ana wanaume wengi wee huino kuwa huyu ni yupo kwenye stage ya kugegedana tuu na hana mpango wa kuwa na serious relationship.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom