Recent content by Stephen curry

  1. Stephen curry

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu za bata Tabora

    Mayeee[emoji23][emoji23]
  2. Stephen curry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimchague nani?

    Kwa sababu mjomba wake katika ukoo alioa miaka kama yake.. Too childish
  3. Stephen curry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemchoma mke wa mpangaji mwenzangu kwa mumewe

    Na chenji anarudisha
  4. Stephen curry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemchoma mke wa mpangaji mwenzangu kwa mumewe

    Safi kabisa, Taifa bado changa hili hatuwezi kukwamisha jitihada za mh Rais kwa mambo ya kijinga.
  5. Stephen curry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitokaa niwasamehe wazazi wangu kwa kunikatalia kumuoa binti niliyempenda kisa tofauti zetu za Dini

    Tatizo ni moja tu ndugu Richard Minja ( ubini wa baba yako mkubwa), hukuwapa historia ya kutosha kuhusu alipokutoa huyo Bi Ilham badala yake ukaishia kumwaga machozi. Rudi kawaeleze ukweli wote nina imani watalegeza misimamo yao. Wao wanaamini huyo binti umekutana nae kipindi hiki umeanza...
  6. Stephen curry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitokaa niwasamehe wazazi wangu kwa kunikatalia kumuoa binti niliyempenda kisa tofauti zetu za Dini

    Huu ni upuuzi sasa, unatufanya kama watoto wako kila saa kuchungulia huku kama usharudi kazini
  7. Stephen curry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Stress za kuachwa

    Unakunywa maji mengi sana, badala ya kumuwaza wewe unakua uko busy kwenda chooni kukojoa mara kwa mara
  8. Stephen curry

    JamiiForums Tanzania Mwenye hili gari anaibiwa mafuta hapa Arusha

    Jifunze KUBALANCE SHOBO
  9. Stephen curry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume hizo boxers zenu mziangalie kabla hamjazivaa

    Mamaee.. moja moja[emoji28]
  10. Stephen curry

    JamiiForums Tanzania Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

    Karibu sana, make sure unampa fimbo ya maana.. Kila la kheri maana unabeba bendera ya uwakilishi wa wanajamii forum wote
  11. Stephen curry

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni mama yangu mdogo,aiseeh!

    Episode 2 lini mkuu?
  12. Stephen curry

    JamiiForums Tanzania Jela jamani mpasikie tu wapendwa

    Sikuhizi ashakuwa babu
  13. Stephen curry

    JamiiForums Tanzania Shitukia Atanda, hukunifanyia utu lakini nilishangaa kusamehe

    Kumekucha, kutoana akili
Back
Top Bottom