Nimemchoma mke wa mpangaji mwenzangu kwa mumewe

Nimemchoma mke wa mpangaji mwenzangu kwa mumewe

Umedhalilisha sana jamii ya wanaume, yani mtu anajileta mwenyewe halafu wewe unafanya uzembe......je kama mumewe huwa anamtuma afanye ivo pengine kwa niaba ya kumsaidia,maana huwezi jua inawezekana nae akawa ni miongoni mwa wale wanaoitwa "wanaume wa Dar" sasa hapo unaweza kukuta anampiga kwa hasira baada ya kulipekea ambalo halina makali yani kama vile nyuki wa mashineni tu
Mkuu wangu wa camandi upo!!! Habari za Sikh nyingi jamani
 
Umedhalilisha sana jamii ya wanaume, yani mtu anajileta mwenyewe halafu wewe unafanya uzembe......je kama mumewe huwa anamtuma afanye ivo pengine kwa niaba ya kumsaidia,maana huwezi jua inawezekana nae akawa ni miongoni mwa wale wanaoitwa "wanaume wa Dar" sasa hapo unaweza kukuta anampiga kwa hasira baada ya kulipekea ambalo halina makali yani kama vile nyuki wa mashineni tu
Mkuu kumbe upo
 
Umefanya vizuri sana, achana na hao wanaokulaumu.
 
asilimia mia moj huyo mwanamke nI mbaula angekuwa cute ucngeanzisha uzi nawaza kwa sauti huyo anaweza kuwa dada wa kijana wetu harmorapa
 
Ukitaka kujua tabia za watu pitia mikasa ya namna hii ndio utachambua mchele na pumba...
By the way hongera mkuu MUNGU Ni mwema na umeshinda kishawishi cha shetani na huyo mume wake ni tu mwema vinginevyo ingekula kwake.

Chakushangaza hapa utasiki midume mingi ikisema kuchapiwa inauma sasa kama mnachapa wa wenzenu wakichapwa wakwenu ndo mnalia lia hapa?
Mna safari ndefu sana ya kuuona mwanga toka huko gizani.
 
Nilianza kusoma kwa bashasha zote nilipofika sehem yenye jina la seneta wa mtwizi nikaacha hapohapo
 
Wewe inaonekana hujaumbwa na koromeo.. Sifa ya mwanamme ni kuhifadhi mambo makubwa yenye kuweza kuleta mifarakano kwenye jamii... Hapa umetuangusha wadau wenzio...Ulipaswa kumkemea na kemeo hilo limfanye atambue kweli kakemewa...
 
Hongera kwa kushinda jaribu, la shetani
Hao ndiyo wanaume wa Dar es salaam; yaani hakuna tofauti na mabinti. Sasa unaanzaje kumsema mwanamke kwa mume wake?

Na mwanaume amekuchukuliaje? Yaani wanaume wa Dar es salaam mna mapungufu kinoma. Hapo nimekula dona nikashiba, nimetoka gym mwanamke anajilegeza mbele yangu ... yaani ...
 
Back
Top Bottom