Wivu, pambana na hali yako
Leo unashabikia jamaa wanaiba mafuta eti tuu sababu ni gari binafsi. Usichofahamu ni kwamba wenye hiyo tabia kesho wataiba kwa Mjomba, au ndugu yako na keshokutwa wataibia Serikali, na athari zake ndiyo hizi JPM anahangaika nazo sasa.Mkuu acha UNAAA!!hilo gari lingekuwa ni la serikali hapo ningekuita mzalendo namba 3!!baada ya RENATUS MKINGA na JPM,ila sasa hilo ni gari la binafsi na mtu anapewa mafuta kulingana na umbali wa safari yake,je kama ana anajua jinsi ya kubalance mafuta ili yamfikishe anakoenda na kurudi tatizo liko wapi??VITU VINGINE SIO VIZURI,sasa kuna faida gani utakayoipata baada ya kuripoti ?
Keshamwaribia tyr mzeeUkuda huo broh!unataka kumwaribia ajira mwenzio kwa ushushu wako.Ukishamwaribia yeye na familia yake watakula kwako???
Kwa usawa huu watu wote wapigaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani nimeshangaa jamaa amefichua waovu lakini anaonekana yeye ndiye mwenye makosa.
Ni me ila wa DarMleta mada wewe ni me au ke?
Ujue hili hamuwezi kulielewa kama hujawahahi kuajiri mtu,Watu wengine bwana ni sumu!!mimi nilidhania labda ni gari la serikali kuwa ni kodi zetu,sasa mtu binafsi je kama posho za safari wanazopewa hazikidhi!!na kwa magari hayo makubwa mtu anapewa mafuta kulingana na umbali wa safari yake!!madam aende na kurudi?!!je kama mwenyewe anajua jinsi ya kuendesha na kubana mafuta tatizo liko wapi??
Je ingekua ni gari yako ungeandika maneno haya?Maisha magumu kwanini umchome mwanaume mwenzio hivyo? Hesabu za gari na Tajiri yake yeye ndiye ajuayeambaye, kiaina umemuaribia dereva sio poa
Ni me ila wa Dar
Mimi sio CCM mkuu, ila siungi mkono wizi, ushajiuliza ingekua gari ya baba yako ungefurahia hilo?Tabia za umbea umbea ni tabia za Vijana wa Ccm mambo yasiyokuhusu ya nini umeulizwa
umbea huoSemitrela kama ndivyo liitwavyo nimeliona maeneo ya Uswahilini hapa Arusha likinyonywa mafuta na Dereva na Tandiboi wake wakiyatia kwenye dumu la lita 20 hv na kijana mmoja kuondoka nalo..
Nimepiga picha kinamna namna majizi yasinishtukie. Hapa natumia browser nashindwa kuyaweka
kichwa T 176 ARS
Tela T 348 DES