Yuko South na share zake za Vodacom aliuza akasepa.Hivo Rostam hayupo?
Duh kumbe ndiyo walimuotea hivyo! Sasa atatia akili.Jamaa ni tamaa zilimponza, alikuwa yupo S.Africa, akaja bongo kimya kimya kuja kuongeza mkataba na IPTL, wakati anarudi S.A wakamnyaka uwanja wa ndege
mkuu mahabusu ni noma kukaa coz mda unasepa na bado kesi yako hujui inasikilizwa lini ni muda wa kupigwa kalenda tu ni afadhal upewe hukumu ujue uko wap kule mahabusu ni shida aisee asikwambie m2 hata kama unapesa na msosi mzuri toka kwa ndugu but life la kule ni shedaaaa kitu kina self container afu mpo 50 ndani harufu hiyo aikwambie m2 labda mahabusu za bush kdg afadhaliSi ndio nasema kama una watu wa kukuletea msosi na mavazi si unakula chochote ukitakacho na kuvaa nguo zako tu za kawaida mkuu...?
Majuto ni mjukuu..
Ruge kafanana na Burning spear na huyo Seth ni kama wale makuani wakuu kwenye muvi ya yesu hizo ndevu


Bado picha za Malinzi na wenzie wakina Aveva... maana nao kesi zao ni kama za hawa...
hapa ndio una kuja ngundua pesa unayo lakini haikusaidii kwa sasa... pesa ya dhamana ipo lakini sheria hairuhusu... daaah maisha haya
mkuu mahabusu ni noma kukaa coz mda unasepa na bado kesi yako hujui inasikilizwa lini ni muda wa kupigwa kalenda tu ni afadhal upewe hukumu ujue uko wap kule mahabusu ni shida aisee asikwambie m2 hata kama unapesa na msosi mzuri toka kwa ndugu but life la kule ni shedaaaa kitu kina self container afu mpo 50 ndani harufu hiyo aikwambie m2 labda mahabusu za bush kdg afadhali
Bado picha za Malinzi na wenzie wakina Aveva... maana nao kesi zao ni kama za hawa...
hapa ndio una kuja ngundua pesa unayo lakini haikusaidii kwa sasa... pesa ya dhamana ipo lakini sheria hairuhusu... daaah maisha haya