Hizi ndio athar za kua na mwanamke zaidi ya mmoja maskini asiependwa amepotezewa muda bure
Ndoa inahitaj uwe na mtu uliempenda kidhat i mean mmependana na kuridhiana, sio kua na mapenz ya upande mmoja itafikia hatua utachoka na kuamua kuacha
Wewe umempenda huyo mwanasheria sababu anakufurahisha kwenye tendo means huyu kama angekua hakufurahish kwenye tendo asingekua na nafas moyoni mwako?
Nasema hakuna uliempenda hapo we umewatamani tu mapenzi ya kweli hayaaangalii sababu ya kumpendea mtu unampenda tu unaona kila anachofanya ni sahihi kwake
Usimpotezee muda binti wa watu mcha Mungu mwambie ukweli huwez kua nae alie apate wake wa kumfuta machozi
Baki na mtu ambae unaona moyo wako umeamua