Recent content by steel fingure

  1. steel fingure

    Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

    Story nzuri sna jaman
  2. steel fingure

    Lowassa na Kiingereza chake!

    Ungekuta lugha ndo inayoongoza basi watanzania wachache sna wangekuwa viongozi
  3. steel fingure

    Jeshi latanda Mjini Songea

    Ebu waulize mkuu halafu utupe feedback kuna nn.
  4. steel fingure

    Sekretariati ya CCM jana imekesha hadi usiku wa manane kuelekea uchaguzi mkuu

    Mungu wetu tunakuomba utupe raisi unayoona anatustahili na syo raisi tunaye mtaka sisi bali awe chaguo lako ambaye atadumisha Aman katka nchi yetu ya Tanzania.AMEN
  5. steel fingure

    Tumwambie mumewe ukweli au?

    Ndugu yangu nakusgauri kuwa kama mtu kakupigia magoti na kukuomba msamaha halafu bado ukamwambia mumeo utakuwa umemuhukumu na neno la Mungu linasema usimuhukumu mwenzako nawewe hutohukumiwa kupiga magoti niishara ya unyenyekevu na hali ya kujishusha chini na mpaka anakupigia magoti n kweli...
  6. steel fingure

    Tumwambie mumewe ukweli au?

    Mungu akutie nguvu katka maamuzi yako lakini yawe ya busara na ya hekima
  7. steel fingure

    Ushahidi: Maisha tena baada ya kifo

    Kama mnajua kuwa mtu akifa anakuja kuzaliwa upya mbona msijue siku zenu za kufa?kuna mambo mengine mtu hutakiwi kudadisi wala kijua maana hayana msaada yoyote katka maisha tunayoishi dunian
  8. steel fingure

    Huyu housegirl anaelekea kuvunja ndoa yangu sasa

    What you sow is what you reap
  9. steel fingure

    Ndoto inayonisikitisha, msaada please!

    Usisumbuke hakuna anayejua tafsiri yake ila Mungu mweza wa yote na usitake kujua tafsiri yake maana itakupa kuweweseka cha msingi vunja kabsaa kwa jina la Yesu hyo ndoto na haitarudiiiii tenaaaaaaa!
  10. steel fingure

    Ndoto inayonisikitisha, msaada please!

    Pole sna Ndugu jarbu kukemea kwa sababu anachokiota mtu syo kiti cha uongo kumbuka nafsi yako ndo inayofanya hicho kitendo katka ulimwengu wa roho
  11. steel fingure

    Kituko: Waziri Mkuu Luxembourg afunga ndoa ya jinsia moja

    Let the dead burry their own dead
  12. steel fingure

    Ndoto yangu niliyoota usiku wa kuamkia leo

    Jf kila iitwapo Leo kunatokea vitu vya hali ya juu
  13. steel fingure

    Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    Yeah usimuhukumu mtu na wewe usije ukaukumiwa
Back
Top Bottom