respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,557
- 3,835
Huu sasa ni udaku bila chenji..!!
Hao Ma-shigongo walikuwa wakitaka kumgeuza Padre Atm yao, Kwasababu wamemkuta anajilia vyake wakataka kugeuza mradi ili wapate pesa. Haya sasa Padre kagoma wametundika picha mzee wa watu akigegeda. Hivi hata hao waliokuwa wakipiga picha walikuwa na ujasiri kiasi gani? Unaweza kuta hata wao waligegeda gari au miti iliyotapakaa hapa kwa kuzidiwa na Genye..!! Aaah huo ujasiri mkubwa sana tena wanastahili tuzo.
Halafu kunawatu wanashadidia ati kwa tukio kama hilo, Mapadre waruhusiwe kuoa.!!! Inashangaza, Hivi aliyewaambia kuoa ndio mwisho wa tamaa ya kugegeda ni nani? Kuna Askofu mmoja wa Kirutheli amezaa watoto wawili nje ya ndoa (thread iko hapa) Na hao watoto ni.wale tunaowafahamu, hatujui ambao hawafahamiki.! Huyo anandoa yake safi na watoto kumwaga tu ndani ya ndoa. Tusemeje kwa huyo? Aruhusiwe kuoa mke mwingine siyo?
Kuna Mashehe tunasikia kila siku hapa ndani, licha ya kuwa na ndoa za mpaka wake wanne+ lakini bado wanashindwa kuhimili tamaa zao na kuishia kupakua vitoto vidogo huko Madrasa. Tusemeje kwa hao? Au waruhusiwe kuoa mpaka vitoto vidogo kama hivyo?
Timu kama inaruhusu sana magori na kushindwa kufunga, Wewe kama kocha angalia mbinu zako za kufundushia, Ikishindikana kuboresha badiri hata wachezaji nayo ni moja ya mbinu. Siyo kupunguza au Kupanua magori ukidhani kwa kufanya hivyo unajilinda au utafunga zaidi...!!!!!
Mandoroboooo
BACK TANGANYIKA