Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

Status
Not open for further replies.
Jesca tumeona ana mimba tayari, na Jk niko bize na masomo nakarbia kufanya pepa.. Halafu Nuro amerekodi video akipata sababu ya kuachana na Ahmed..

Unaakosaje uhondo??!!
 
Hata mimi sijaziona aisee, JK umeziona huko?
 
Da pretty hapana huwa sijisikii kuwa mwanamume zaid but linachanganya neno hilo unaanza kupiga hesabu za MAGAZIJUTO.
 
Hii story nimemuachia diva aendelee nayo kwenye kipindi chake.. Kwahiyo sitoendelea kuileta hapa..!!
Tune clouds fm kila siku J3 hadi Alhamisi saa 4 mpka 6 usiku..

Pia waweza kutembelea page zetu:
nirasaire.blogspot.com
mdharubajk.blogspot.com
Kuna story nyiingi zaidi..
HISTORIA BATILI Episode 18 Leo ntaiweka..
Natanguliza shukrani..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom