Recent content by Stan9029

  1. S

    JamiiForums Tanzania Shy-Rose Bhanji aendelea kububujikwa machozi dhidi ya maamuzi ya Magufuli

    Unawatoto wangap au ulikuwa bsy ukasahau malezi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ushauri kuhusu MABOTO microfinance

    Ninashida ya mkopo kwa ajili ya kuendeleza biashara zangu na sikuwahi kukopa taasisi yoyote ya kibenki lakini kwa sasa nahitaji mkopo. Nimetembelea taasisi za kibenki tatu lakini kuna masharti magumu sana na wengine kama CRDB hawakopeshi kabisa mpaka sasa. Nimekutana na taasisi binafsi iitwayo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    Kuna huyu mmoja anaitwa ………, ali niacha hoi baada ya kumfanyia huduma tam na kulia sana si akaanza kuomba po eti mkojo unatoka, yaan hawa ladies bwana akaenda kukojoa na ukawa hautoki yaan nyie ladies noma sana.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    Hapo me naona wengi wanalia kwa utam na huduma nzuri wanayopata. Hapo men lazma uandae vzr chakula yako yaana mfanyie preparation ya nguvu kabla ya kuweka machine gun. Nadhan kila mtu anajua kuandaa chakula kiwe kitamu, akiwa tayar tu utajua anavyo jikanyaga na kuanza kulia, hapo n sawa na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nikisikia jina Magufuli napata huzuni, moyoni najisikia hasira

    Hakuna mtu atakayeweza kukupa furaha ya maisha yako, Kama ni furaha omba kwa mungu wako akikuongezea pumzi na uzima sio kukaa JF kuponda kila kitu kwa serikali as if nothng hve been done. Furaha jipe mwenyewe kwa kupiga kaz kupata mkwanja na sio kulialia JF maisha magumu. Kwakweli ukisubir gvt...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nikisikia jina Magufuli napata huzuni, moyoni najisikia hasira

    Yaan kwa tathmini ya haraka naona nyie ndo yale majipu yanayosubir mda wowote kumbuliwa, kumchukia rais wako ni sawa na kuchukia mamlaka ya mungu kwa watanzania. Hapo bdo naona kawapunguzia sana dili zenu wapga dili, mziki ndo kwanza first step, subirin mkianza kucheza na beat. Sisi sote n...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Serikali haieleweki kabisa kuhusu ajira hasa za waalimu

    Ugetumia vzr pesa ya bum ilkuwa mtaji tosha kuwa hata machinga kama si wenzio, acha ku blame mzee hyo ndo nyakati nenda nayo kwa kasi na tafuta mlango wa kutokea. Hapa kazi tu mzee
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa mwana usalama wa Taifa

    Mfate baba ako chatu hukoo Geita sijui, mwambie umbea wote wa JF unapata ushushushu kama wenzio wanao kesha Jf kuwinda binadam wenzao.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ukitongozwa unakataa, kwanini uombe kukutana, unachunguza nini?

    Hakuna kitu rahs rahs wewe, au ndo first timz kutongoza, wanawake n wa thaman na hyo inakufanya utofautshe malaya na mwanamke
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi (wa kike)

    Kuna cousn angu yupo Feza girls, n mrembo sana na anahtaji commted by kama ww ila sharti uwe mrembo pia.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: ex-gf wangu kanitia hasara tuu!!

    Hauko sawa, hizo swagz za kisukuma na huna tofaut na mzee wako wa kiskuma, kupenda sifa za kijinga ni za akina Kakoge na mashoga wenzie, wanaume kamili wanawaza mipango ya maisha na ku make mkwanja daily, we piga tu hzo utanyooshwa mjini.
  12. S

    JamiiForums Tanzania AZAM hamnitendei haki kwa hizi chupa za juice

    Kwanza n za watoto ulianzaje kujimwagia mzeee? Vp shati yako ilipona kweli maana usiombe hii kitu ikumwagikie kwa shati na ulivyo mshamba kunywa kama yule ndugu yako msukuma.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete kachukizwa na kitendo cha Nape kumpa bendera Diamond Platnumz?

    Ni issue ya kumtafsir Rizone, cjaona kosa lake kwani yupo sahihi kabsa. Anakoenda Diamond a.k.a Simba ni kwenye AFCON ambayo ni football game na tulihtaji representative ambao ni National team, Diamond anakwenda kuburudisha tu na hakustahili kubeba hyo bendera may be kama ingekuwa n music...
Back
Top Bottom