AZAM hamnitendei haki kwa hizi chupa za juice

AZAM hamnitendei haki kwa hizi chupa za juice

Kweli kabisa hivi vi juice ukitaka uone karaha yake panda daladala kupitia Mandela road then nunua njiani anza kunywa , kama hujashushwa njian kwa kuwamwagia watu juice , ukitaka kunywa unajikuta ishafika kwenye pua, na gar lishakurusha

√√ kunywa hii juice ina hitaji timing
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana
 
waliwadisainia watoto, si unajua wanapenda kujirambaramba, sasa we mtu mzimaa kaz IPO.. .. (jokes(
 
Kwanza n za watoto ulianzaje kujimwagia mzeee?
Vp shati yako ilipona kweli maana usiombe hii kitu ikumwagikie kwa shati na ulivyo mshamba kunywa kama yule ndugu yako msukuma.
 
Back
Top Bottom